Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,894
Hahahaha...Sheikh sasa Madrasat si ndio kuna Elimu ya juu zaidi yaani "Elimu Ahera"bwana mdogo upo chuo cha elimu ya juu au madrasa..???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha...Sheikh sasa Madrasat si ndio kuna Elimu ya juu zaidi yaani "Elimu Ahera"bwana mdogo upo chuo cha elimu ya juu au madrasa..???
dah nimepata ushauri wako vzuri sana mkuu na ninaupokea na kuufanyia kazi thanksusiende kwa mganga hapo hujasolve tatizo.hapo utaenda kuongeza zaidi ya hilo na utajuta milele.cha msingi ni kujiamini na kuondoa woga.be like a man.usimtumie sms za kijinga jinga muda wote tuma sms ya kutaka kuonana naye somewhere ili urushe voko zako.tafuta maneno matamu mazuri ya kuongea naye express your feelings to her.Fanya mazoezi ya kutongoza ingia room jifungie act kama unaongea naye ili ujenge confidence.isitoshe coca nao wamerahisisha mambo unaweza kuelezea hisia zako kwa kutumia coca.
imetokea kipind naandka thread nikiwa sehem mbayaUpo chuo au wapi?
Upo Chuo au shule ya msingi? Maana umeunganisha maneno balaa.
Mnunulie i phone 6, kisha mwekee vocha ya laki moja, alafu mpe laki mbili za matumizi ya wiki, baada ya hapo mwenyewe ata ku sms kuwa nilini unanafasi ukamkanyage.
mdogo wng jitahidi umalize shule kwanza then ndo ufikirie hayo mambo, kuna kudisco.Halaf kwa umri wako unatakiwa uyafikirie maisha yko baada ya kumaliza chuo, wasichana wapo but future haina tendency ya kukusubiria nafkir umenielewahabari zenu wakuu,? naomba kuwasilisha na kusaaidiwa kimawazo juu ya huyu binti jaman kwanza Mimi ni kijana Wa umri miaka 20 ni mwanafunzi Wa chuo hapa jijini dar es salaam kiukweli Mimi nimekuwa mzito sana kutongoza na kuexplain hisia zangu kwa wadada pale ninapokuwa nimependa au kutaka kuwa n gal friend sijui tatzo nin sasa jaman hii hali inaniumiza sana na kunifanya nijihisi mpweke mda mwingi kwa kuogopa kuongea na mdada,dah imefika hatua kwa huyu binti ambae nimetokea kumpenda saba hapa chuo na ananichanganya sana kichwa changu kwanin ninetokea kumuelewa sana,nasoma nae baadhi ya coz pa1 hivi nilikuwa namwona tu ktk lecture rooms na aehrm zngne na Mara nyingi huwa anashnda peke ake a nap kuwa chuo licha ya hivo nilishindwa kuongea nae hat nikikaa nae karbu huwa naogpa sana kumwonglesha,lakin hivi karbuni nlitafuta namba yake nikapat nikamwomba tuwe marafik katka masom akasema saw lakin akasema hanifahamu ivo Jana nikaonana nae na kuongea nae kidgo tu lakin hat ivo namtumia text anajibu baadh tu zngne hajibu kam Jan jion nlimwomb tuonane hakureply asubuh nimemtumia text y kunuamsh hajareply n text zngne yupo kimya tu ivo Leo cjabahatik kuonana nae chuo.lakin hata Ivo nawaz niraanzaje kubwambia abt love and relation coz natak awe Wang,hadi nawaza kwenda kwa mganga w jadi kam inawezekan akanisaidia kunip dawa itakayofanya nimpate aise naomb mnisaidie nifanyej kijan mwenzenu naumia sana kwa ajil yake?
huwezi kuwa miongoni mwa hao wachache ukampenda kijana wetuNi wanawake wachache sana tena wenye kipaji wanaoweza kupenda mvulana wa dizaini hii
Mimi nakushauri kitu kimoja cha msingi sana....kwa sasa hivi achana na mambo hayo komaa na kitabu kwanza......kila jambo na wakati wake....huu ni wakati wa kusoma....achana na mambo mengine...nipo university mkuu
Kweli kabisa , hilo nalo ni tatizo. Kwa uandikaji huo nadhani ni ngumu kdgo kuwakamata mabinti hawa wa chuoTatizo liko Kwenye mwandiko wako kwanza! Badilisha mwandiko halafu uje tena
Wakati huu ambao mwenzetu ana majonzi hupaswi kucheka cheka naman hiyo......(joke)Hahahaha...Sheikh sasa Madrasat si ndio kuna Elimu ya juu zaidi yaani "Elimu Ahera"