Msaada wa mawazo: Nampenda sana kiukweli

Msaada wa mawazo: Nampenda sana kiukweli

usiende kwa mganga hapo hujasolve tatizo.hapo utaenda kuongeza zaidi ya hilo na utajuta milele.cha msingi ni kujiamini na kuondoa woga.be like a man.usimtumie sms za kijinga jinga muda wote tuma sms ya kutaka kuonana naye somewhere ili urushe voko zako.tafuta maneno matamu mazuri ya kuongea naye express your feelings to her.Fanya mazoezi ya kutongoza ingia room jifungie act kama unaongea naye ili ujenge confidence.isitoshe coca nao wamerahisisha mambo unaweza kuelezea hisia zako kwa kutumia coca.
dah nimepata ushauri wako vzuri sana mkuu na ninaupokea na kuufanyia kazi thanks
 
Mnunulie i phone 6, kisha mwekee vocha ya laki moja, alafu mpe laki mbili za matumizi ya wiki, baada ya hapo mwenyewe ata ku sms kuwa nilini unanafasi ukamkanyage.


Khaaa! Amekuwa yule kigogo mwenye nyumba 72 au
 
Hebu kesho jaribu kumtumia sms ya tigopesa,utume kwa kutumia simu yako. Mtumie elfu 50. Kisha mwambie,umemtumia hela ya chai uone km hatakujibu.
 
habari zenu wakuu,? naomba kuwasilisha na kusaaidiwa kimawazo juu ya huyu binti jaman kwanza Mimi ni kijana Wa umri miaka 20 ni mwanafunzi Wa chuo hapa jijini dar es salaam kiukweli Mimi nimekuwa mzito sana kutongoza na kuexplain hisia zangu kwa wadada pale ninapokuwa nimependa au kutaka kuwa n gal friend sijui tatzo nin sasa jaman hii hali inaniumiza sana na kunifanya nijihisi mpweke mda mwingi kwa kuogopa kuongea na mdada,dah imefika hatua kwa huyu binti ambae nimetokea kumpenda saba hapa chuo na ananichanganya sana kichwa changu kwanin ninetokea kumuelewa sana,nasoma nae baadhi ya coz pa1 hivi nilikuwa namwona tu ktk lecture rooms na aehrm zngne na Mara nyingi huwa anashnda peke ake a nap kuwa chuo licha ya hivo nilishindwa kuongea nae hat nikikaa nae karbu huwa naogpa sana kumwonglesha,lakin hivi karbuni nlitafuta namba yake nikapat nikamwomba tuwe marafik katka masom akasema saw lakin akasema hanifahamu ivo Jana nikaonana nae na kuongea nae kidgo tu lakin hat ivo namtumia text anajibu baadh tu zngne hajibu kam Jan jion nlimwomb tuonane hakureply asubuh nimemtumia text y kunuamsh hajareply n text zngne yupo kimya tu ivo Leo cjabahatik kuonana nae chuo.lakin hata Ivo nawaz niraanzaje kubwambia abt love and relation coz natak awe Wang,hadi nawaza kwenda kwa mganga w jadi kam inawezekan akanisaidia kunip dawa itakayofanya nimpate aise naomb mnisaidie nifanyej kijan mwenzenu naumia sana kwa ajil yake?
mdogo wng jitahidi umalize shule kwanza then ndo ufikirie hayo mambo, kuna kudisco.Halaf kwa umri wako unatakiwa uyafikirie maisha yko baada ya kumaliza chuo, wasichana wapo but future haina tendency ya kukusubiria nafkir umenielewa
 
Nilitaka nijitolee kukufundisha mitongozo ila dah hutomaliza chuo na hii itaniuma sana wenda wewe ni mdogo wangu maana mdogo wangu yuko chuo ana umri kama wako embu kwanza soma
 
ww bwana mdogo unataka matatizo : ebu jiulize kwanza unapesa ya kumtunza shopping , kama huna uwezo hata wa kuudumia nywere zake bac ww piga book tuu :

pia kwa chuo mtu ambaye yuko comfatable na maisha ni yule asiye na demu sasa ww unafikili ukishampata utapata nn cha ziada ktk maisha yako kama sio kuambulia zambi tuu


tumilia akili kufikilia hatma ya maisha yako
 
we kweli mtoto huyo mwanamke wa kutongoza now dayz yuko wapi?sa ivi ukipeana na duu no asubuhi jion tu mechi.
 
hahaha mkuu kwa jins ulivyo (kama unayoongea ni kweli) nadhan hata huyo demu unaempenda ukimtongoza, kuna 90% probability kuwa atakukataa, atakuzungusha for months or years au atakuchuna..samahani lakini Blank page
 
asanteni sana wote mlonisaidia kimawazo ndugu zangu akina kaka na dada zangu siwezi kuwataja wote kwa majina but nimepokea ushauri wenu kwa mikono miwili na nitaufanyia kazi,nimeamua moja ambalo nimeona ni bora na wengi mumenishauri kusoma kwanza na si vinginevyo na ninaachana na hiyo habari ya mapenzi naanza rasmi kitabu ili nisiwe na stress nikiwa chuo wala nisiingie gharama kumgharamia uyo mtoto mwenzangu wa kike pia ili nifaulu na nisije kudisco asanteni sana mlokuwa grteat thinkers than me.acha nisome mana coz yangu yenyew n shda.Mungu awabariki sanaaaa
 
Back
Top Bottom