Msaada wa mawazo: Nataka kufungua 'liquor store' Goba au Tabata

tempid

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,053
Reaction score
1,657
Waungwana nataka kufungua biashara hii maeneo kama Tabata au Goba naomba msaada wa mawazo mtaji mdogo kiasi gani naweza kuanza nao na being za fremu maeneo hayo.

Wenye uzoefu naomba msaada went.

Asanteni
 
Ingia chimbo, angalia wateja wako unaowalenga wapo kwenye hilo eneo au hauna wateja, ni nani watakua washindani wako kwenye hilo eneo, washindani wako wamefanikiwa kiasi gani kupitia hio Biashara unayotaka kuianzisha, ni nini kimewafanya wafanikiwe kwenye hio Biashara, ni nini kina kosekana kwao ambacho wewe unaweza ukakiongezea kwenye Biashara yako ili kuwapiku kibiashara washindani wako kwenye hilo eneo?

Anza na business plan mkuu fanya research & survey kabla hujaanza kufanya Biashara katika eneo husika

Nitarudi tena baadae...
 
Kama unajua minimum capital kwa biashara hii na bei ya fremu maeneo tajwa nijulishe,mengine niachie
 
Waungwana nataka kufungua biashara hii maeneo kama Tabata au Goba naomba msaada WA mawazo mtaji mdogo kiasi gani naweza kuanza nao na being za fremu maeneo hayo. Wenye uzoefu naomba msaada went. Asanteni
Usipende mteremko hivyo mzeiyaa nenda tabata soma mazingira na upepo, uliza fremu mwenyewe kwa madalali na wapangaji upate uhalisia, rudi na Goba vivyo hivyo. Utelezi usiwe mwingi mzee pambana kaza tacall
 
Ingia chimbo, angalia wateja wako unaowalenga wapo kwenye hilo eneo au hauna wateja, ni nani watakua washindani wako kwenye hilo eneo, washindani wako wamefanikiwa kiasi gani kupitia hio Biashara unayotaka kuianzisha, ni nini kimewafanya wafanikiwe kwenye hio Biashara, ni nini kina kosekana kwao ambacho wewe unaweza ukakiongezea kwenye Biashara yako ili kuwapiku kibiashara washindani wako kwenye hilo eneo?

Anza na business plan mkuu fanya research & survey kabla hujaanza kufanya Biashara katika eneo husika

Nitarudi tena baadae...
Njoo mwaga madini
 
Kwamba zile nyumba za barabarani watazilipa zitoke au?
Nafikiri amemaanisha kwamba wakati wa ujenzi barabara zinakuwa zinablokiwa kwa ajili ya kupisha ujenzi hali inayofanya kuleta usumbufu kwenye usafiri hasa wale wenye magari yao private wanakuwa hawavutiwi kuja au kupita maeneo hayo na automatically panapooza.
 
Bado haujanielewa Jamaa kakurupuka haya mambo ukikurupuka utakula loss moja ya karne hutokaa huamini

Au unafikiri haya mambo yanaendeshwa kienyeji km Biashara ya kuuza vitumbua?
Watu wanafanya masihara na bznz hawana huruma na mitaji yao
 
Back
Top Bottom