Msaada wa mawazo: Niachane na nani kati ya hawa?

Msaada wa mawazo: Niachane na nani kati ya hawa?

Habari ya muda huu wakuu, nina changamoto nazipitia changamoto zenyewe ni hizi kwanza nina nina mke na mto mmoja wa miaka 6 anasoma chekechea ada yake ni kubwa kidogo pili nina mchepuko ana mimba ya miezi kama 7 hivi tatu nina mpenzi ambaye ni mke wa mtu na ananipenda kweli kweli kiasi nikimzingua anaumwa ukiachilia hao nina michepuko kama watatu hivi ambao ni winja winja... Wakuu naomba ushauri nwaza niachane nao naishindwa nawaza nitulie na wife nashindwa kiufupi nimekua sielewi nafanya nini......!!!
Acha ufala pambania kombe wote halali yako
 
Kama una hela endelea nao wote,ila kama choka mbaya mwenzangu..piga chini wote hadi mke
 
Back
Top Bottom