Msaada wa mawazo: Niachane na nani kati ya hawa?

Msaada wa mawazo: Niachane na nani kati ya hawa?

Mkuu umenena kwa maana sana,, sasa point ni kwamba nahitaji kutulia ila wife game ananipaga kwa mashariti kweli kweli thus nakua na high panic mpak kutafuta huduma outside.
Ni kawaida kwenye ndoa mke kukupangia tendo la ndoa kwahiyo wewe kama mwanaume lazima kuishi na mwanamke wako kwa akili.
 
Dr kweli uyasemayo ila katika haya mambo yangu niseme tu huwa siumizi sana wallet yangu na ikitokea nimeumiza hua kuna namna nafanya ili ni balance wallet yangu siwezi kusema ni namna gani nafanya ila hua sina tabia za kuumiza wallet yangu mara kwa mara ila kwa outing huwa nachanika mkuu as mwanaume siwezi kuruusu kulipiwa bill.



Endelea kuzihesabu siku zako.
 
Ni kawaida kwenye ndoa mke kukupangia tendo la ndoa kwahiyo wewe kama mwanaume lazima kuishi na mwanamke wako kwa akili.
Mkuu kwa namna moja ama nyngine naweza kutetea harakati zetu kuna wakati natoka katika utafutaji na hko nilipo toka yawezekana siku hiyo nilikumbana na changamoto kadhaa nikarudi home akili ilinipa faraja nikifika home ntatoa mawazo kwa kufurahia tendo na mke wangu sasa nafika nakuta wife nae ananibania mzee hata ungekua wewe kuna namna utaitafuta furaha nje ya hapo.
 
Baki na mke wa mtu,,Mng'ang'anie haswaa,,,hao vilaza wengine tupa kule,,huyo ndio ana upendo hadi kuumwa.,,yoyote anaekupenda kweli lazima aumwe ukimzingua
 
Habari ya muda huu wakuu, nina changamoto nazipitia changamoto zenyewe ni hizi kwanza nina nina mke na mto mmoja wa miaka 6 anasoma chekechea ada yake ni kubwa kidogo pili nina mchepuko ana mimba ya miezi kama 7 hivi tatu nina mpenzi ambaye ni mke wa mtu na ananipenda kweli kweli kiasi nikimzingua anaumwa ukiachilia hao nina michepuko kama watatu hivi ambao ni winja winja... Wakuu naomba ushauri nwaza niachane nao naishindwa nawaza nitulie na wife nashindwa kiufupi nimekua sielewi nafanya nini......!!!
Tukimaliza mapambano ya Gen Z, Tuanzishe ya kupunguza wavulana kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom