Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅Mkuu unamjua zuchu
Ni kawaida kwenye ndoa mke kukupangia tendo la ndoa kwahiyo wewe kama mwanaume lazima kuishi na mwanamke wako kwa akili.Mkuu umenena kwa maana sana,, sasa point ni kwamba nahitaji kutulia ila wife game ananipaga kwa mashariti kweli kweli thus nakua na high panic mpak kutafuta huduma outside.
Dr kweli uyasemayo ila katika haya mambo yangu niseme tu huwa siumizi sana wallet yangu na ikitokea nimeumiza hua kuna namna nafanya ili ni balance wallet yangu siwezi kusema ni namna gani nafanya ila hua sina tabia za kuumiza wallet yangu mara kwa mara ila kwa outing huwa nachanika mkuu as mwanaume siwezi kuruusu kulipiwa bill.
Jf kuna watuTulia na mchepuko..mke mfukuze
Mkuu kwa namna moja ama nyngine naweza kutetea harakati zetu kuna wakati natoka katika utafutaji na hko nilipo toka yawezekana siku hiyo nilikumbana na changamoto kadhaa nikarudi home akili ilinipa faraja nikifika home ntatoa mawazo kwa kufurahia tendo na mke wangu sasa nafika nakuta wife nae ananibania mzee hata ungekua wewe kuna namna utaitafuta furaha nje ya hapo.Ni kawaida kwenye ndoa mke kukupangia tendo la ndoa kwahiyo wewe kama mwanaume lazima kuishi na mwanamke wako kwa akili.
Mkuu upo timamuMalaya hashauriki mbwa wewe
Sija come kwa malumbano mkuuHayo sio mahusiano ni uchafu.
Shida Jf kuna wajuaji na wanajiona wako timamu kweli kweli.Jf kuna watu
Ulijua Kuna nini sweetheart....Jf kuna watu
Mkuu amini nakwambia binadamu tunachangamoto sana kuna wakati hua najiuliza hivi hii hali ipoje kwangu.,!Hii story haina uhalisia kwa asilimia 100
Mbona unacheka mkuu ahaha
Ni kweli mzeeKitu pekee usije kuacha ni mchepuko
Tukimaliza mapambano ya Gen Z, Tuanzishe ya kupunguza wavulana kwenye ndoaHabari ya muda huu wakuu, nina changamoto nazipitia changamoto zenyewe ni hizi kwanza nina nina mke na mto mmoja wa miaka 6 anasoma chekechea ada yake ni kubwa kidogo pili nina mchepuko ana mimba ya miezi kama 7 hivi tatu nina mpenzi ambaye ni mke wa mtu na ananipenda kweli kweli kiasi nikimzingua anaumwa ukiachilia hao nina michepuko kama watatu hivi ambao ni winja winja... Wakuu naomba ushauri nwaza niachane nao naishindwa nawaza nitulie na wife nashindwa kiufupi nimekua sielewi nafanya nini......!!!