Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Hii kuna wakati nilienda wakaniambia hii huduma natakiwa niifanye kwenye cm na nilipojarbu niliambia sijakidhi vigezo ndio maana nikawaza tofauti bank ni stanbicKama una ajira rasmi benki wanakupa huduma ya salary advance. Yaani unakopeshwa mshahara. Ukilipwa wanakata. Nenda kaulizie. Sasa sio upate hiyo usahau shida zako ukale bata na mademu
Uko wap?Hii kuna wakati nilienda wakaniambia hii huduma natakiwa niifanye kwenye cm na nilipojarbu niliambia sijakidhi vigezo ndio maana nikawaza tofauti bank ni stanbic
Niko dar es salaamUko wap?
Ukishindwa kabisa jaribu kausha damu, japo ujipange kwenye riba na kuacha kadi ya benk. Hapo ndio inapokuja faida ya kikoba. Wife hana kikoba?Hii kuna wakati nilienda wakaniambia hii huduma natakiwa niifanye kwenye cm na nilipojarbu niliambia sijakidhi vigezo ndio maana nikawaza tofauti bank ni stanbic
Ni mtumishi wa serikali?Hii kuna wakati nilienda wakaniambia hii huduma natakiwa niifanye kwenye cm na nilipojarbu niliambia sijakidhi vigezo ndio maana nikawaza tofauti bank ni stanbic
wife hana kikoba mkuuUkishindwa kabisa jaribu kausha damu, japo ujipange kwenye riba na kuacha kadi ya benk. Hapo ndio inapokuja faida ya kikoba. Wife hana kikoba?
hapanaNi mtumishi wa serikali?
na muajiri wng ukopeshaji wake ameingia ubia na mtu binafsi ambaye ukikopa laki2 unarejesha laki 4 na 20k kwa miezi 5 kila mwez anakata laki anamalizia 20k mwez wa5hapana
Duh mbona huu ni utapeli sasa ndugu yangu. Lani faida 220kna muajiri wng ukopeshaji wake ameingia ubia na mtu binafsi ambaye ukikopa laki2 unarejesha laki 4 na 20k kwa miezi 5 kila mwez anakata laki anamalizia 20k mwez wa5
Kuna watu ni wanyonyaji ndo madhara ya riba hayoDuh mbona huu ni utapeli sasa ndugu yangu. Lani faida 220k
ndio utaratbu wao huo na ni siku moja hta ukitaka 500k utartibu ni huohuo inatakiwa irudi 1m na 50k kwa miezi 11Duh mbona huu ni utapeli sasa ndugu yangu. Lani faida 220k
ChangamotoKuna watu ni wanyonyaji ndo madhara ya riba hayo
mkuu sina dhamana yoyote zaidi hapo nilitegmea ajira yngUna dhamana gani mkuu yaani Asset yoyote kwa ajili ya mortgage ya mkopo wako ?.
Hivyo vitu unanipa nikae navyo,mwezi unalipa na riba 50 kama uko dar fresh.Nahitaji 120k kwa pamoja vitu hv mtungi mdgo wa orxy empty dish la azam na feni ya chini