Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Hivi mabroo huku jukwaani naombeni mnipe msaada kwa sababu jamii forum ni kisima cha maarifa hivi mwanamke anakuambia mimi nipo tayari au muda wake sahihi wa kufunga ndoa ni mwishoni mwa mwaka kama mwezi wa kumi anamaanisha nini? Kwamba yeye mwanamke ndiyo anapanga kuolewa mwezi wa kumi na ananiambia hivyo sasa nimejiuliza nimeshindwa kupata jibu