Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
DuuhHivi mabroo huku jukwaani naombeni mnipe msaada kwa sababu jamii forum ni kisima cha maarifa hivi mwanamke anakuambia mimi nipo tayari au muda wake sahihi wa kufunga ndoa ni mwishoni mwa mwaka kama mwezi wa kumi anamaanisha nini? Kwamba yeye mwanamke ndiyo anapanga kuolewa mwezi wa kumi na ananiambia hivyo sasa nimejiuliza nimeshindwa kupata jibu
ema mwezi wa kumi ndiyo ana settle vizurikWani mwenyewe anasemaje?
kAma unampenda msubiriMwenyewe anas
ema mwezi wa kumi ndiyo ana settle vizuri
"Kamwe usiendekeze demokrasia katika mahusiano,utakuja lia"@be putinized.Hivi mabroo huku jukwaani naombeni mnipe msaada kwa sababu jamii forum ni kisima cha maarifa hivi mwanamke anakuambia mimi nipo tayari au muda wake sahihi wa kufunga ndoa ni mwishoni mwa mwaka kama mwezi wa kumi anamaanisha nini? Kwamba yeye mwanamke ndiyo anapanga kuolewa mwezi wa kumi na ananiambia hivyo sasa nimejiuliza nimeshindwa kupata jibu
Hivi mabroo huku jukwaani naombeni mnipe msaada kwa sababu jamii forum ni kisima cha maarifa hivi mwanamke anakuambia mimi nipo tayari au muda wake sahihi wa kufunga ndoa ni mwishoni mwa mwaka kama mwezi wa kumi anamaanisha nini? Kwamba yeye mwanamke ndiyo anapanga kuolewa mwezi wa kumi na ananiambia hivyo sasa nimejiuliza nimeshindwa kupata jibu
Ulimkuta bikra?Hivi mabroo huku jukwaani naombeni mnipe msaada kwa sababu jamii forum ni kisima cha maarifa hivi mwanamke anakuambia mimi nipo tayari au muda wake sahihi wa kufunga ndoa ni mwishoni mwa mwaka kama mwezi wa kumi anamaanisha nini? Kwamba yeye mwanamke ndiyo anapanga kuolewa mwezi wa kumi na ananiambia hivyo sasa nimejiuliza nimeshindwa kupata jibu
Kijana naona anambwelaPoor Brain unasemaje kuhusu hilo.
Sound good?Anamaanisha huo muda ndio atakuwa amemaliza utoto na yupo tayari sasa kuwa mke wako
Kwanini sasaKumbe ndio maana ndoa hazidumu
Subili kupigwa na tukio,au mpige tukio wewe mapema ,itakuja kuniambia Tunza hii threadsHivi mabroo huku jukwaani naombeni mnipe msaada kwa sababu jamii forum ni kisima cha maarifa hivi mwanamke anakuambia mimi nipo tayari au muda wake sahihi wa kufunga ndoa ni mwishoni mwa mwaka kama mwezi wa kumi anamaanisha nini? Kwamba yeye mwanamke ndiyo anapanga kuolewa mwezi wa kumi na ananiambia hivyo sasa nimejiuliza nimeshindwa kupata jibu
Ana umri gan kwanza hebu Anza upya kumuangalia anakupangiaje wewe ndo mtoa mahal huyo hayupo tayarHivi mabroo huku jukwaani naombeni mnipe msaada kwa sababu jamii forum ni kisima cha maarifa hivi mwanamke anakuambia mimi nipo tayari au muda wake sahihi wa kufunga ndoa ni mwishoni mwa mwaka kama mwezi wa kumi anamaanisha nini? Kwamba yeye mwanamke ndiyo anapanga kuolewa mwezi wa kumi na ananiambia hivyo sasa nimejiuliza nimeshindwa kupata jibu