Msaada wa mawazo wakuu

Atakumulia nani wa kuja kwako na nani asije,
Nani umsalimie na nani umchunie
Nani wa kumsaidia na nani wa kumpotezea
Mwanaume umeumbwa kuongoza sio kupelekwa kama ling'ombe
Wewe ni dhaifu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…