Boss kumbuka ameota ma ra nyingi na kama kuna ambavyo vilitokea kuna ambavyo havija tokea. Aliota vibaya kuhusu huyo dada sababu tayari amesha fanya fixation about her. Ukweli ni kwamba mtu hawezi kumchukia mtu bila sababu. Kaa na mama yako umuulize tatizo ni nini na ni kitu gani aliona kufika kwenye hiyo conclusion (kwamba yuko na wewe kimaslahi zaidi). Based on that ndio umchunguze mpenzi wako.
But kabla hujaanza mwambie kwanza mpenzi wako kuhusu mtoto. Mtoto ni baraka, sio aibu.
Wamama wanajua sana kuwasoma mabinti wa kike, tukumbuke pia na wao walipitia stage hizo mnazopitia.
Its better ukaresolve hiyo ishu mapema ili usije ukaingia kwqenye mkwaruzano na mama yako!
Though huyo mwanamke ni wewe utaish naye na siyo yeye, kumbuka mama ni mama tu!
True love ya mpenzi wako, mama yako ataijuaje, wakati mwingine wazazi wanapotosha, hapo kwenye swala la mwenza hata usipomsikiza radhi haikupati, maana hata Mungu hapendi kulazimishanasio ndugu yangu mkuu! Its just mama ana wasawasi kuwa hana true love!!!!!!