msaada wa mawazo

msaada wa mawazo

nimekupata mkuu, ntayafanyia kazi mawazo yako!!!
Boss kumbuka ameota ma ra nyingi na kama kuna ambavyo vilitokea kuna ambavyo havija tokea. Aliota vibaya kuhusu huyo dada sababu tayari amesha fanya fixation about her. Ukweli ni kwamba mtu hawezi kumchukia mtu bila sababu. Kaa na mama yako umuulize tatizo ni nini na ni kitu gani aliona kufika kwenye hiyo conclusion (kwamba yuko na wewe kimaslahi zaidi). Based on that ndio umchunguze mpenzi wako.
But kabla hujaanza mwambie kwanza mpenzi wako kuhusu mtoto. Mtoto ni baraka, sio aibu.
 
amekutana naye siku moja tu mkuu! hiyo inatosha kumjudge mtu kweli?
Wamama wanajua sana kuwasoma mabinti wa kike, tukumbuke pia na wao walipitia stage hizo mnazopitia.
Its better ukaresolve hiyo ishu mapema ili usije ukaingia kwqenye mkwaruzano na mama yako!
Though huyo mwanamke ni wewe utaish naye na siyo yeye, kumbuka mama ni mama tu!
 
sio ndugu yangu mkuu! Its just mama ana wasawasi kuwa hana true love!!!!!!
True love ya mpenzi wako, mama yako ataijuaje, wakati mwingine wazazi wanapotosha, hapo kwenye swala la mwenza hata usipomsikiza radhi haikupati, maana hata Mungu hapendi kulazimishana
 
Kiukweli mwana jamii unapaswa kuwa makin kuna wakati wazazi wanakuwa kuna jambo wanajua ambalo cc ha2jui. mi binafsi mke niliemuoa nilikuwa na urafiki nae muda usio pungua miaka9 na ukichanganya na ndoa inakuwa miaka11 lkn muda wamiaka 9 alipendeka na kupendeza ndani ya familia nilipo tangaza ndoa b.mkubwa hakutaka na kudai sio m2sahh wa kumuoa. but nililazimisha nikaoa ila sikufich ndani ya ndoa namuona kama m2 ambae ndio naonananae sasa nilioambiwa ndio yanajitokeza. so kwakuwa yamenikuta nakushauri umchunguze kwa kina huyo mdada na mwambie mama akupe usiri auonao yy na asikufiche ki2 ili maamuz yawe mikononi mwako. pole ndugu ndio dunia hiyooo
 
Back
Top Bottom