Aisee... Angalau nimepata mwanga mkubwa. Asante.Nadhani gharama kubwa ipo kwenye kupata eneo/kiwanja. Kumbuka filling stations nyingi/zote zipo pembezoni mwa barabara, mfano tu kutoka Mbezi mwisho kuelekea Goba kuna station inajengwa, nimesikia jamaa wamenunua eneo kwa 600ml, ukijumlisha na gharama za ujenzi, ununuzi wa mashine, tanks etc lazima 1.2bl itakata tu.
Nafikri alijua 70 millionAcha utani wewe, m700 haitoshi kujenga kituo cha mafuta ?
Aje atoe ufafanuziNafikri alijua 70 million
Maisha kugawana.Siku hizi ni mwendo wa partnership ..
Wamama wa Kimanyema wanamiliki maghorofa kariakoo kwa sababu ya ubia..
Yeye katoa kiwanja mdosi kaleta fedha..
Maisha kugawana.
Asante mkuu.Habari ndio hiyo..
Ukitaka umiliki kila kitu hutaweza.. na ndoto yako itabakia kwenye makaratasi tu
Umesema vyema mkuuApart from kiwanja
Ukiwa na milioni 300 tu kituo kinakamilika na mtaji wa kuanzia juu... kwa maana ya miundombinu na working capital...
Mmenipa moyo....mwezi wa 8 naanza ujenzi wa sheli
Du!! Yaani huo mkwanja ni wa kununulia nyanya.!!!?Acha utani wewe kituo Cha mafuta hakijengwi kwa pesa ya kununulia nyanya.
Wabongo tùnakatishana tamaa tu.sasa mtu kaja et bilion2Pump 2@15,000,000/=
Kiwanja 100,000,000/=
Ujenzi wa paa10,000,000/=
Mantank ya lita 100000 mawili @ 15,000,000/ kifupi haifiki milioni 200
Mkuu, umenipa mwanga mkubwa kiukweli. Nimeshaonza pakuanzia.Ingia ubia na mwenye kiwanja..
Jenga, endesha, faida mtagawana.
Sijui kuhusu maroli ya mafuta yapo mengi tu kukodi na wengine watakufuata
Tena wauza mafuta wa jumla wakiona unajenga shell wanakutafuta wenyewe.., si ajabu hata hizo pump watakupa na hata standby jenereta nalo utapewa na wewe utawalipa kidogokidogo..
Kwa sababu nao hutafuta masoko ya mafuta na vilainishi vyao..
Hakuna kinachoshindikana kwenye ulimwengu wa biashara...