EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Aisee... Angalau nimepata mwanga mkubwa. Asante.Nadhani gharama kubwa ipo kwenye kupata eneo/kiwanja. Kumbuka filling stations nyingi/zote zipo pembezoni mwa barabara, mfano tu kutoka Mbezi mwisho kuelekea Goba kuna station inajengwa, nimesikia jamaa wamenunua eneo kwa 600ml, ukijumlisha na gharama za ujenzi, ununuzi wa mashine, tanks etc lazima 1.2bl itakata tu.