Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

Kuna Yale matanki madogo ya mafuta ya taa ya Lita 2000 hayafukiwi chini yanawekwa juu tu kuna MTU anataka kuniuzia linakuwa na uzito gani kuna gari ya kubeba wanachaji kwa uzito
 
Na vipi kwa hawa masuper dealer unaweza ukawapa eneo wajenge kila kitu na wakate vibali af wewe uje upige kazi Kama agent?
 
Dah safi sana kunywa coca hapo kwa Mangi
 
Pump 2@15,000,000/=
Kiwanja 100,000,000/=
Ujenzi wa paa10,000,000/=
Mantank ya lita 100000 mawili @ 15,000,000/ kifupi haifiki milioni 200
Mkuu huu ujenzi wa paa ni jumla ya gharama zote (Yaani nondo, kokoto, siment nk)?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Milioni 700 si wengi wangekuwa wanamiliki sheli,
Kujenga/building filling station ukiwa na 150m unaweza...

Kujenga service station, uwe na 350m and na kuendelea kulingana na services utakazotoa, ukubwa wa majengo, wingi na ukubwa wa matenki etc..

Kwenye kuendesha, hapo sijui, ila utahitaji not less than 200m kununa stock ya mwanza ya mafuta, mishahara, EWura permits na OSHA


Watu wanadanganyana sana hasa kwenye ujenzi, which is not as they say
 
Vipi Kama utauza petrol pekee, uwezi kuanza na hiyo mil 700?
Thats way too much money.. currently am building one for a client, yenye pump tatu.. kama uko serious inbox me your number and we talk..
 
Na vipi kwa hawa masuper dealer unaweza ukawapa eneo wajenge kila kitu na wakate vibali af wewe uje upige kazi Kama agent?
Total inajivua kwenye huu mfumo.. kwa sasa unajenga, mnaingia mkataba wa branding na product sales.. kituo chako kinakua na lebal ya total, na unausa products za total at a beneficial agreement..
 
Asante mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza share picha na baadhi ya madini hapo na sisi sote kwanza mkuu coz wenye uhitaji ni wengi sio Mimi peke angu
Thats way too much money.. currently am building one for a client, yenye pump tatu.. kama uko serious inbox me your number and we talk..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashauri uonane na watu wa TOTAL au ORYX... inbox for more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…