Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuanza unaweza kuwa ni kitu kizuri sanaHiyo ya kuwa chini yao naona haitonifaa.
Sina taarifa kamili......
Labda ufanye kazi za super dealer... Kwa mfano unapewa kituo ambacho kipo tayari,unakua unauza products zao tu.. Kama Puma,Total au Engen... na unakua unakula hela kwa commission kutokana na mauzo yako.... La sivyo ku operate kituo cha mafuta sio lelemama mkuu
Vipi Kama utauza petrol pekee, uwezi kuanza na hiyo mil 700?Milioni 700 si wengi wangekuwa wanamiliki sheli,
Ni kwa mafuta yote? Petrol,dezel na ya taa?Apart from kiwanja
Ukiwa na milioni 300 tu kituo kinakamilika na mtaji wa kuanzia juu... kwa maana ya miundombinu na working capital...
Dah safi sana kunywa coca hapo kwa MangiMnaosema kituo cha mafuta ni gharama ebu semeni gharama ipo sehemu gani.
Je pump?
Au ujenzi wa kisima chenyewe?
Au ujenzi wa lile la juu?
Au ni ununuzi wa mafuta ? Je ni gharam za usajili....wekeni wazi kipi gharama.
Kwa uelewa wangu pump za mafuta zipo hadi za 5m.ukikadiria pale chini sidhani kama panazidi 50m.sasa semen wapi ni gharana
Mmenipa moyo....mwezi wa 8 naanza ujenzi wa sheli
Mkuu huu ujenzi wa paa ni jumla ya gharama zote (Yaani nondo, kokoto, siment nk)?Pump 2@15,000,000/=
Kiwanja 100,000,000/=
Ujenzi wa paa10,000,000/=
Mantank ya lita 100000 mawili @ 15,000,000/ kifupi haifiki milioni 200
Hao wa mikopo ndio hatuwataki, maana hau uchangia kufilisi biashara na kibaya zaidi wengine hadi wanafilisika hawalipi mafuta, mfano Scandinavian Express hadi snafilisika alikuwa na deni la mafuta la karibu Bilioni 2 kutoka PUMA (Zamani BP ), maana yake bilioni mbili iko nje ya mzunguko wa biashara na haitarudi,
Hapa ni Cashmoney ubaoni...
Ukimlea mteja sana anakuacha na hasara.
kwanza margin kwa litre ni ndogo halafu bado mtu aje alipe mwisho wa mwezi hiyo hapana mzeiyaah...
Don't entertain credit on business...
Kujenga/building filling station ukiwa na 150m unaweza...Milioni 700 si wengi wangekuwa wanamiliki sheli,
Anamaanisha paa la ofisi huyo hahahaa bati na mbaoMkuu huu ujenzi wa paa ni jumla ya gharama zote (Yaani nondo, kokoto, siment nk)?
Thats way too much money.. currently am building one for a client, yenye pump tatu.. kama uko serious inbox me your number and we talk..Vipi Kama utauza petrol pekee, uwezi kuanza na hiyo mil 700?
Total inajivua kwenye huu mfumo.. kwa sasa unajenga, mnaingia mkataba wa branding na product sales.. kituo chako kinakua na lebal ya total, na unausa products za total at a beneficial agreement..Na vipi kwa hawa masuper dealer unaweza ukawapa eneo wajenge kila kitu na wakate vibali af wewe uje upige kazi Kama agent?
I wish ningekuwa na kiwanja huu mradi mzuri wa kustaafia badala ya kula vumbi ya unga kwenye mradi wa mashine ya kusaga
Asante mkuuKujenga/building filling station ukiwa na 150m unaweza...
Kujenga service station, uwe na 350m and na kuendelea kulingana na services utakazotoa, ukubwa wa majengo, wingi na ukubwa wa matenki etc..
Kwenye kuendesha, hapo sijui, ila utahitaji not less than 200m kununa stock ya mwanza ya mafuta, mishahara, EWura permits na OSHA
Watu wanadanganyana sana hasa kwenye ujenzi, which is not as they say
Thats way too much money.. currently am building one for a client, yenye pump tatu.. kama uko serious inbox me your number and we talk..
Nashauri uonane na watu wa TOTAL au ORYX... inbox for moreHabari waungwana.
Naomba kujua hatua za mwanzo jinsi ya kuanzisha kituo cha mafuta, gharama na utaratibu wote kuanzia namna ya kupata matenki pamoja na mashine zake.
Na ni wapi naweza kupata vifaa hivyo hasa kati ya Mwanza ama Dar, na kama kuna utofauti wowote wa kuanzisha kituo kidogo ama kikubwa.
Naomba kuwasilisha.
Mtaji (mzigo) ni wa nani sasa? Total?Total inajivua kwenye huu mfumo.. kwa sasa unajenga, mnaingia mkataba wa branding na product sales.. kituo chako kinakua na lebal ya total, na unausa products za total at a beneficial agreement..
Sorry, kuna information siwezi ku share in publicUnaweza share picha na baadhi ya madini hapo na sisi sote kwanza mkuu coz wenye uhitaji ni wengi sio Mimi peke angu
Sent using Jamii Forums mobile app