mkuu 'sheli' ni kampuni ya mafuta kama ilivyo BP, TOTAL, OILCOM, CAMEOIL nk. maneno sahihi ni 'kituo cha mafuta' au kwa kinyasa 'petrol station'
sio petrol station ni 'fuel station' sababu pale hawauzi petrol peke yake. Kuna petrol,diesel,kerosene,gas na hata mkaa na kuni wanaruhusiwa.
sio petrol station ni 'fuel station' sababu pale hawauzi petrol peke yake. Kuna petrol,diesel,kerosene,gas na hata mkaa na kuni wanaruhusiwa.
Yeah,
Ni Sawa na kalamu yoyote kuiita BIC,
Au siagi kuiita BLUEBAND,
na Bubble Gum kuiita BIG-G.
Mbona Shwari tu!!
mkuu hii inaitwa kasoro juu ya kasoro. kwa taarifa yako neno 'petrol linasimama kwa niaba ya mafuta ya aina zote (mafuta ya nishati). ukiona lori la mafuta limeandikwa 'petroleum usije ukadhani limebeba mafuta ya petroli tu, hua yanabeba aina tofauti kama vile mafuta ya taa na dizeli. na sector yenyewe inaitwa petroleum and gas. bila shaka nimekuongezea ujuzi dogo
Heshima yenu wakuu, msaaada mwenye kujua gharama za kufungua sheli ya mafuta, nataka nifanye hii biashara niko mkoani tatizo sijui pakuanzia wapi, mtaji sio tatizo, mwenye mchanganuo plz share,mbarikiwe sana
TANZANIA PETROLIUM DEVELOPMENT CORPORATION-TPDC shirika la maendeleo ya petroli tanzania,ni hao hao wanacontrol utafiti 1wa gesi na mafuta,be it diesel or kerosene or petrol, i think the difference comes at the time of processing,in my opinion petrol embraces other productsmkuu hii inaitwa kasoro juu ya kasoro. kwa taarifa yako neno 'petrol linasimama kwa niaba ya mafuta ya aina zote (mafuta ya nishati). ukiona lori la mafuta limeandikwa 'petroleum usije ukadhani limebeba mafuta ya petroli tu, hua yanabeba aina tofauti kama vile mafuta ya taa na dizeli. na sector yenyewe inaitwa petroleum and gas. bila shaka nimekuongezea ujuzi dogo
Naomba data za uhakika kwa mwekezaji anapenda kuanzisha kituo cha mafuta cha kisasa kwa ajili ya uuzaji wa petrol, diesel, kerosene na lubricants apa apa nchini TANZANIA.Pia mwenye ujuzi wa kudesign kituo icho cha mafuta, anaweza kunipa wazo la designing na usalama wa mahali pa uuzaji (safety measures)Nakaribisha michango yenu wadau
kujenga kituo standard ambacho hutopata shida ya ewura kwa kijijini ni kama 150m.
nashukuru sana mkuu nadhani 150 ni kituo kilichokamilikaHongera kwa wazo zuri la kibiashara ila kuanzisha kituo kipya itakuchukua kama mwaka mzima hivi kuweza kukamilisha kila kitu hadi kufungua kituo.
hatua ya kwanza ni kupata eneo la kuweka kituo lililotengwa kwa ajili ya biashara hiyo, ya pili unatakiwa kwenda halmashauri kuomba kibali cha ujenzi, tatu utaenda Fire kupata certificate ya kujenga kituo, nne itakubidi ufanye Environmental impact assessment, ukishapata certificate unaenda Ewura kwa ajili ya vibali. baada hapo ndio unaweza kuanza kujenga kituo.
kuna watu huwa hawafuati hizo taratibu ila huwa kuna shida zake na hasa kwa kipindi hiki.
kujenga kituo standard ambacho hutopata shida ya ewura kwa kijijini ni kama 150m.