jaqkzy3090
Member
- Jan 6, 2017
- 10
- 10
Mtaji ni shiling ngapi mpaka kufunga limashine lile kama ukitaka kuanzisha sheli ya mafuta ya taa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatakiwa uwe na(1) certificate from nemc (2) title deed with petrol staton purpose (3) building permit (4) layout plan for petrol station (5) tin number (6) business licence (7) osha certificate (8) fire certificate (9) certificate of incorporation but if its a limited company ..naomba kufahamu kama nshajenga kituo changu cha kuuzia mafuta, je natakiwa kuwa na vitu gani kabla ya kwenda ewura kupata leseni....cjui pa kuanzia jamani...msaada..munitajie vitu ntakavyokwenda navyo ewura....
Msaada jamani naona kama muda unakimbia napoteza muda.....
Toa majibu acha upigaji kwani ye aliweka namba ya simu apate majibu via simu si ameomba kwwenye public kwa nn we utoe majibu Private,Mkuu kupata majibu yako yote ya namna ya uwekezaji wa kituo cha mafuta Tanzania,
Mtaji unaohitajika, na breakdown ( mchanganuoa wa mtaji huo)
Sababu zinazopelekea kushuka au kupanda kwa faida ya kituo cha mafuta.
Pia utajua faida kwa kila kita moja ya mafuta
Leseni unazohitaji kuzipata ili kufungua kituo cha mafuta
Namna ya kuendesha kituo cha mafuata
Nicheki kwa namba hii WhatsApp. 0655376543.
Huwezi pata majibu mazuri ya biashara hii hapa , kwani wafanyaji wengi wa bisharaa hii huwezi kuwakuta hapa
Brother sema hapa hapaMkuu kupata majibu yako yote ya namna ya uwekezaji wa kituo cha mafuta Tanzania,
Mtaji unaohitajika, na breakdown ( mchanganuoa wa mtaji huo)
Sababu zinazopelekea kushuka au kupanda kwa faida ya kituo cha mafuta.
Pia utajua faida kwa kila kita moja ya mafuta
Leseni unazohitaji kuzipata ili kufungua kituo cha mafuta
Namna ya kuendesha kituo cha mafuata
Nicheki kwa namba hii WhatsApp. 0655376543.
Huwezi pata majibu mazuri ya biashara hii hapa , kwani wafanyaji wengi wa bisharaa hii huwezi kuwakuta hapa
Wanajamvi, heshima kwenu!
Naomba kujuzwa jinsi ya kuwekeza katika biashara ya kituo cha mafuta (filling station) mkoani.
Eneo lipo barabarani, njiani kuu kati ya Kahama na Bukoba.
Ni mtaji kiasi gani ninatakiwa kuwa nao kwa kituo chenye pampu tatu na matenki yenye uwezo wa kuhifadhi lita kama 30,000 za mafuta.
Fursa gani naweza kuzipata kutoka kwa wauzaji wakubwa mafuta ya jumla.
Nawasilisha hoja, wadau!
Mkuu mfano ukaenda pale kisarawe kuna kijituo cha mafuta kidg sana kina pump moja tu na eneo n dogo sana na nn gharama hasa Ktk bsness hii ..mfano mm nakusudia kuuza mtaani kwetu huku na nataka nianze na lita maybe 250 tu za petrol na diesel .....ili niangalie soko linaendaje ...je kwamtindo huu nikiwa na milion saba au 8 swez anzsha ....kmbk s za kisasa km bigbon au kwngne ..mfn hio ya kisarawe n pamp moja tna chakavu na inajaza gar moja hain uwezo wa kuhudumia gar 2 pmoja coz space n ndg sana ......na juu wamezba na bati chakavu hii nayo nahtaj mamilion au hta milion kumi kwa pampu na kias kidg cha mafuta naeeza kufanyaKuna aina mbili za hivyo vituo!aina kwanza jenga cha kwako....kwa standard ya (seek ushauri kwa Oilcom,Gapco,Total etc) ambao watakuuzia hayo mafuta!unakuwa unatumia logo yao .....ukishajenga kituo,unaweka deposit kwao mnaanza biashara!unaletewa mzigo ukiuza unapeleka hela yao ww unabakia faida....wanaleta tena!ila lazima uweke deposit kama 150m hivi!ama la uwe unanunua cash bin cash...hakuna kuchagua kampuni ya kukuuzia!unaenda popote na kununua mzigo unamwaga na kuuza!wajuzi zaidi wakiamka watakumwagia zaidi!subiri