Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

Mkuu mimi ni mfanyabiashara ya mafuta huu mwaka wa 6 sasa, naomba nikueleze machache usiponielewa utanitafuta kwa maelezo zaidi.

SERVICE STATION (PETROL STATION)

Tuanze na hiyo sheli ndogo unayosema, kama ile ya Kisarawe unavyoiyona vile huwezi kuimiliki ukiwa na chini ya Million 60 (hapo tayari kiwanja unacho).
Mchanganuo wake ni km ufuatavyo :

Pump ya bei rahisi kabisa ile ya kichina yenye nozzles mbili ni million 7 hadi 8.

Tank ya Petrol let say ni lita 5,000 ni million 3.5, tank ya Diesel pia 5,000 million 3.5.

Galvanised pipes na installation kwa ujumla let's say 1.5 million

Canopy 2 million

Concrete, separeter let's say 2 million

Weight and Measures wanafanya Calibration kwa 50 Tshs per liter so kwa Jumla ya lita 10,000 itakua 500k.

Pump calibration weka 300k.

Vibali
Leseni 201k
Ewura USD 200 = almost 500k
Fire certificate = 40
Fire extinguisher kg 9 *3 = 180k
NEMC (pasua kichwa)

Automatic EFD machine 2 million

Generator ya emergency KVA 15+ let's say 1 million.

Mtaji wa kuanzia
PMS (Petrol) ltrs 5,000 kwa bei ya sasa ya soko ni 2100*5,000 = 10.5 Million

AGO (Diesel) ltrs 5,000 kwa bei ya sasa ya soko ni 1900 * 5,000 = 9.5 million

Usafiri mara nyingi chini ya lita 10k wanacharge per trip ambayo utakuta kwa ndani ya Dar ni 200k hadi 250k, ukichukua kuanzia 15k utachajiwa kwa ltrs ambapo mara nyingi ni around 15 to 20Tsh per liter within Dar Es Salaam.

Ulisema kwamba uanze na liter 500, kwanza hakuna depot inayouza mafuta lita 500 nadhani wanaanzia lita 2,000 tena wengine hawauzi chini ya lita 5,000. Pili hyo 500 uliyosema ni mauzo ya siku moja na tena unauza zaidi ya hyo 500 so haiwezekani ukaanza na 500 wakat sales yako ya siku ni lita 1,500. Tatu hakuna gari itakusafirishia lita 500 kwa sababu ni kama kituko, yani ni sawa na uende kisimani ukachote kikombe kimoja cha maji ubebee ndani ya pipa it's impossible.
Nne, gari ya mafuta wanacharge let's say 200k, na faida ya mafuta kwa sasa ina range kati ya 200 -250 per ltr so kwa lita 500 utapata faida kati ya 100k to 125k ambayo ni ndogo kuliko gharama yako ya usafirishaji. Hapo pia unatakiwa kununua luku, kulipa mshahara kijana wa kazi, kulipa mlinzi, kulipa Vibali mbalimbali na bado kwenye biashara ya mafuta kuna kitu Kinaitwa fuel loss so kwa unaweza kuona Hamna biashara hapo.

Changamoto kubwa ya Petrol station ni kupata kibali cha mazingira (NEMC) hapo mzee utaongea lugha zote utamaliza.

So to conclude ni kwamba kwa mtaji huo huwezi kufanya biashara ya mafuta especially petrol station unless uuze mafuta ya videbe huko polini ambapo serikali haifiki lkn siku wakikuotea wanaondoka na mtaji wote.

So kwa ujumla petrol station ni biashara ya watu wenye mitaji mikubwa mkuu.

KEROSENE STATION (MAFUTA YA TAA)
Hii kidogo imerahisishwa japo ina magumu yake pia. Twende pamoja ;

Tank (size unayotaka) bei zinaanzia 1 million hadi 3 million.
Pump ya manual 2 million (Hii sio lazima, unaweza kutumia hata mapipa na zile can za kupimia mafuta za Kariakoo japo ukitumia pump utaipata hesabu vizuri na utaaminika zaidi kwa wateja na utapata wateja wengi zaidi)
Fremu ya kufanyia biashara au sehemu ya uwazi kama uwanja (biashara Hii hufanyika sehemu iliyochangamka kama sokoni na sehemu ambayo ina wakazi wa hali ya chini au uswahili km kigogo, mburahati etc.
Mtaji wa kuanzia kazi
Bei ya sasa ya soko ni 2050 na bei ya Ewura kuuza ni 2271 so faida ni km 200 tsh per ltr.
Sasa kwa kuanzia pia inabidi uchukue angalau lita 2,500 ili isikuue kwenye usafiri.

Vibali
Leseni yake 80k
Fire certificate 40k
Fire extinguisher 60k
EFD machine TRA wamechachamaa Hii nadhani ni 700k
Hadi hapo unaweza kuanza biashara yako

Changamoto ya hii biashara ni mzunguko wake, yani ukifanikiwa kuuza lita 200 kwa siku we kidume na utakua umefanya kazi ya ziada sana ndo maana sheli nyingi hawauzi mafuta ya taa.

Karibu kwenye biashara ya mafuta mkuu.
Kwa maelezo zaidi nichek +255(0) 764 143 900 au hgecompany@gmail.com

Naomba Samahani kwa uandishi wangu mbovu

TUSHIRIKISHANE FURSA JAMANI TUSIWE WACHOYO ILI MWENYE UWEZO AJITOSE.
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is perfect. Kama hajaelewa hapa sidhani kama ataelewa tena
 
Nashkuru sana kwa ufafanuzi Mzur. ...n mtaji mkubwa kidg kuanzisha filling station Ila umenipa mwanga ..am 24 now if godwill baada ya miaka hta 4 naweza anza taratibu

Kuhusu mafuta ya taa nlifanya research huku uswaz ...kuna watu wanafremu na wanajaza kwenye mapipa na mqdumu ya lita 20 na naona wanauza nikavutika kiukweli ......na kuhusu hz tank za mafuta ya taa nliskia zpo znatengenezwa kienyeji ...na kipi bora niweke pump au nianze na kuuza kawaida

Kwa huo mtaji wako mkuu nakushauri anzia kwenye mapipa na madumu then ukifikisha km million 15 hivi ndo ufungue Kituo cha mafuta ya taa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mfano ukaenda pale kisarawe kuna kijituo cha mafuta kidg sana kina pump moja tu na eneo n dogo sana na nn gharama hasa Ktk bsness hii ..mfano mm nakusudia kuuza mtaani kwetu huku na nataka nianze na lita maybe 250 tu za petrol na diesel .....ili niangalie soko linaendaje ...je kwamtindo huu nikiwa na milion saba au 8 swez anzsha ....kmbk s za kisasa km bigbon au kwngne ..mfn hio ya kisarawe n pamp moja tna chakavu na inajaza gar moja hain uwezo wa kuhudumia gar 2 pmoja coz space n ndg sana ......na juu wamezba na bati chakavu hii nayo nahtaj mamilion au hta milion kumi kwa pampu na kias kidg cha mafuta naeeza kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania Petroleum
 
unatakiwa uwe na(1) certificate from nemc (2) title deed with petrol staton purpose (3) building permit (4) layout plan for petrol station (5) tin number (6) business licence (7) osha certificate (8) fire certificate (9) certificate of incorporation but if its a limited company ..
Sorry, certificate ya NEMC unatafuta baada ya kuamaliza ujenzi au kabla ya kuanza?
 
mkuu .... ninakushauri kama una eneo ambalo ni potential kwa wateja wa diesel and gasoline(petrol) lililo karibu na highway nenda kwa oil companies zinazo source (oilcom, camel oil, engen, oryx, total, etc) watakupa requirements zao na kuna uwezekano wa kukupa pumps na mafuta kama franchise na kwa mkataba maalum wa malipo .... hii ni nzuri kwani hutaangaika kupata mafuta na itakuwa obligation yao wanakupa reliable supply ya mafuta hata kama kuna uhaba wa mafuta kutokana na mkataba wenu, pia uta enjoy marketing yao automatically .. kwani kama engen wakifanya advertisement kwenye TV au billboards basi na kama kituo chako ni engen unakuwa umefanya advertisement automatically

..... vinginevyo utahangaika sana
Mkuu, hakika wewe ni mtu potential sana kwenye jamii, maana umenyumbuka vzr. Umefanya summary lakini umeeleweka vema sana, na mtoa maada huenda akatumia energy ndogo sana tofauti na may be alivyokuwa akitarajia.
 
Jamani neno sheli limetoholewa na kuingizwa kwenye misamiati ya kiswahili mara baada ya kuonekana linatumika sana hivyo kiswahili fasaha cha neno 'Fuel station ni 'Sheli'
Me niliambiwa tunatumia neno sheli sababu ndio iliyokuwa ikivuma enzi hizo kwa uuzaji wa mafuta. Sasa hv naona wapo kwa lebo ya puma.
Natamani kujifunza zaidi, maana nisije kuulizwa nikatia aibu.
 
Back
Top Bottom