Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

Mkuu mfano ukaenda pale kisarawe kuna kijituo cha mafuta kidg sana kina pump moja tu na eneo n dogo sana na nn gharama hasa Ktk bsness hii ..mfano mm nakusudia kuuza mtaani kwetu huku na nataka nianze na lita maybe 250 tu za petrol na diesel .....ili niangalie soko linaendaje ...je kwamtindo huu nikiwa na milion saba au 8 swez anzsha ....kmbk s za kisasa km bigbon au kwngne ..mfn hio ya kisarawe n pamp moja tna chakavu na inajaza gar moja hain uwezo wa kuhudumia gar 2 pmoja coz space n ndg sana ......na juu wamezba na bati chakavu hii nayo nahtaj mamilion au hta milion kumi kwa pampu na kias kidg cha mafuta naeeza kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hata gharama ya kununua fuel dispenser maarufu kama pampu hujafikia
 
Changamoto kubwa huwa ni eneo na kuweka miundo mbinu pamoja na kupata vibali,na kama una mtaji kidogo unaweza ukaanza na stock kidogo kufuatana na idadi ya watu unaowahudumia.
 
Back
Top Bottom