RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kitu kikiwa sehemu ambapo hakistahili kuwepo kinaonekana kama takataka.Poleni kwa utafutaji+mapenzi
Naomba kujua ukitaka kufungua sheli (petroli,mafuta ya taa na dizel)
Niwe na milioni ngapi,kama kianzio
2019 nataka kupanua biashara
Ni hivyo tu
Sent using Jamii Forums mobile app