Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

Chief naomba unipe kazi ya kukutafutia na kukuletea uchambuzi mzima juu ya biashara hii. Nitakuchambulia risk, faida, hasara, mtaji na eneo zuri kwa biashara.

Malipo yangu yatakua kidogo tu.
Faida yake inakuwaje kwa lita (petrol,diesel,mafuta ya taa)
 
OK mi nimekueelewa kwa kuwa hii mada ipo kwenye jukwaa la mahusiano MMU. Sheli iko barabarani = changu, wapo wengi tu mkuu pesa yako. Petroli/Mafuta ya taa/Dizeli = Tigo & Voda na chumvini, wanakubali tu mkuu pesa yako unakamilishiwa yote hayo. kuhusu milioni wala hawahitaji we nenda na buku 20 utakula mtoto msafii wa masaki.
 
Sijakuelewa mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miongoni mwa documents muhimu kwa ajili ya kuomba vibali, especially kama utaweka katika Road Reserve hii sheli; ni Michoro sahihi.

Tuungishane tukuandalie michoro!

Shell au kituo cha mafuta,hebu kua makini bwana
 
Back
Top Bottom