Msaada wa mfano wa business proposa

Msaada wa mfano wa business proposa

hiyo business proposal ni biashara ya watu tupe deal tufanye vinginevyo google
 
Ielezee bhiashara unayotaka kufanya kwenye nyanja zifuatazo:-
  1. A problem statement (Haya ni maelezo mafupi kuhusu changamoto unayotaka kufanyia kazi)
  2. A proposed solution (Haya ni maelezo mafupi kuhusu suluhisho la changamoto hiyo)

  3. A pricing estimate* (Haya ni makisio ya gharama kwa ajili ya kupambana na changamoto hiyo) Kwa ufupi ndo hiyo.
 
Shukrani sana mheshimiwa!

Back
Top Bottom