Emmanuel sammanga
Member
- Nov 11, 2016
- 12
- 8
Habari! Naomba msaada wa mfano wa business proposal ili inisaidie niandae wa biashara yangu wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ielezee bhiashara unayotaka kufanya kwenye nyanja zifuatazo:-
- A problem statement (Haya ni maelezo mafupi kuhusu changamoto unayotaka kufanyia kazi)
- A proposed solution (Haya ni maelezo mafupi kuhusu suluhisho la changamoto hiyo)
- A pricing estimate* (Haya ni makisio ya gharama kwa ajili ya kupambana na changamoto hiyo) Kwa ufupi ndo hiyo.
Ndo maana kaomba ...Habari! Naomba msaada wa mfano wa business proposal ili inisaidie niandae wa biashara yangu wakuu