Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Kuna nini tena mkuu mbona umeliita kwa kukokoteza hili jina?Ace hoooooooood!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nini tena mkuu mbona umeliita kwa kukokoteza hili jina?Ace hoooooooood!!!!!!!!!
Au ushaharibu na hukoNina Nida namba nyingi naona hawatoi siku hizi
Mapema sana,subiria atatokea wakukusaidia bila kuweka details zako openNaweka details zangu wazi mkuu
Inatumwa wapi?Habari za jioni wakuu. Nakuja kwenu muda huu nina shida sana na shilingi elfu ishirini na Tano.
Naomba yeyote anayeweza kunipatia kiasi hicho kama mkopo wa wiki moja.
Asanteni🙏
Kwanza ungeandika vizuri na kuweka namba ungepata hiyo hela bila kukopa hapahapa JF.Habari za jioni wakuu. Nakuja kwenu muda huu nina shida sana na shilingi elfu ishirini na Tano.
Naomba yeyote anayeweza kunipatia kiasi hicho kama mkopo wa wiki moja.
Asanteni🙏
Hata mimi sitosema imefika nitaacha hadi yafike mamilioni😂Weka namba tukuchangie, ikifika useme imefika.
Itakua kamshamaliza app zote hakopesheki 😃Ingia kwenye app zinatowa mikopo, mchawi bundle tu.
Washkaji zake si ndio sisi? Ama?Huna hata washkaji wa kukupa hiyo pesa afsa?
Kwa Wanaume kawaida tu hali yeyote kutokea mazee..We jamaa ni maskini haswa elfu 25 mpaka uje jamiiforum.
Wewe tu, lipa namba ni bora zaidi kama namba yako ina changamoto.Asante mkuu namba naweza nikaweka hapa au hata DM. Wewe tu utavyoona inafaa