RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Ok mkuu barikiwa sana. Moderator weka hio update.Asanteni sana nyote kwa upendo. Pesa nilikuwa Nina shida nayo sana kwa ajili yangu na familia yangu. Nimejaribu sana kutafuta siku ya Leo lakini nimeshindwa.
Ndipo wazo la kurudi jamiiforums ambapo naamini pia ni familia yangu likanijia. Na kweli Nimefanikiwa kupata msaada hapahapa jamiiforums. Nimepata zaidi ya nilichokiomba.
Namshukuru sana KXY na Mungu akubariki sana. Mungu awabariki nyote.
Asanteni sana 🙏.
Naomba kufunga uzi wangu. Asante