gilbsonassan
Member
- Jul 2, 2015
- 56
- 9
Salaam wakuu wanaJF ...Mimi ni mwanafunzi katika chuo cha St Augustine kilichopo Muheza tanga ngazi ya cheti cha community health worker... nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kufuga Mbwa... pia mm nina mbwa wawili wa kizungu dume na jike na ninapenda san kufanya biashara ya mbwa naomba msaada wenu mniwezeshe kununua mbwa na kujengea mabanda napenda kufuga spishi zote za mbwa sema sina chanzo cha mbwa zaidi ya hao ambao ninao tu 0685335665,0624067585 kunipa zaidi ..asanteni
Sent from my itel it1701-mkuu hiyo yako haikuzimwa?hongera.
Salaam wakuu wanaJF ...Mimi ni mwanafunzi katika chuo cha St Augustine kilichopo Muheza tanga ngazi ya cheti cha community health worker... nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kufuga Mbwa... pia mm nina mbwa wawili wa kizungu dume na jike na ninapenda san kufanya biashara ya mbwa naomba msaada wenu mniwezeshe kununua mbwa na kujengea mabanda napenda kufuga spishi zote za mbwa sema sina chanzo cha mbwa zaidi ya hao ambao ninao tu 0685335665,0624067585 kunipa zaidi ..asanteni
Nipo dar lakn naombeni msaada wa kuniwezesha
Nashangaa mtu anaomba msaada hata hana mchanganuo wa biashara yake..Salaam wakuu wanaJF ...Mimi ni mwanafunzi katika chuo cha St Augustine kilichopo Muheza tanga ngazi ya cheti cha community health worker... nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kufuga Mbwa... pia mm nina mbwa wawili wa kizungu dume na jike na ninapenda san kufanya biashara ya mbwa naomba msaada wenu mniwezeshe kununua mbwa na kujengea mabanda napenda kufuga spishi zote za mbwa sema sina chanzo cha mbwa zaidi ya hao ambao ninao tu 0685335665,0624067585 kunipa zaidi ..asanteni
Gilbsonassan nakushauri andika kwa kirefu mchanganuo wa wazo lako hilo la biashara yako ili wadau waone kama ni wazo endelevu au la.hii yaweza saidia kujua hatua zipi wadau wachukue dhidi ya uhitaji wako.Salaam wakuu wanaJF ...Mimi ni mwanafunzi katika chuo cha St Augustine kilichopo Muheza tanga ngazi ya cheti cha community health worker... nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kufuga Mbwa... pia mm nina mbwa wawili wa kizungu dume na jike na ninapenda san kufanya biashara ya mbwa naomba msaada wenu mniwezeshe kununua mbwa na kujengea mabanda napenda kufuga spishi zote za mbwa sema sina chanzo cha mbwa zaidi ya hao ambao ninao tu 0685335665,0624067585 kunipa zaidi ..asanteni