Msaada wa mtaji wa kufuga Mbwa

Msaada wa mtaji wa kufuga Mbwa

gilbsonassan

Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
56
Reaction score
9
Salaam wakuu wanaJF

Mimi ni mwanafunzi katika chuo cha St Augustine kilichopo Muheza tanga ngazi ya cheti cha community health worker... nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kufuga Mbwa. Pia mm nina mbwa wawili wa kizungu dume na jike na ninapenda san kufanya biashara ya mbwa naomba msaada wenu mniwezeshe kununua mbwa na kujengea mabanda napenda kufuga spishi zote za mbwa sema sina chanzo cha mbwa zaidi ya hao ambao ninao tu.
 
Salaam wakuu wanaJF ...Mimi ni mwanafunzi katika chuo cha St Augustine kilichopo Muheza tanga ngazi ya cheti cha community health worker... nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kufuga Mbwa... pia mm nina mbwa wawili wa kizungu dume na jike na ninapenda san kufanya biashara ya mbwa naomba msaada wenu mniwezeshe kununua mbwa na kujengea mabanda napenda kufuga spishi zote za mbwa sema sina chanzo cha mbwa zaidi ya hao ambao ninao tu 0685335665,0624067585 kunipa zaidi ..asanteni
 
Hongera kwa wazo la biashara. Andaa business plan, weka hapa.
 
Nashangaa mtu anaomba msaada hata hana mchanganuo wa biashara yake..
 
Salaam wakuu wanaJF ...Mimi ni mwanafunzi katika chuo cha St Augustine kilichopo Muheza tanga ngazi ya cheti cha community health worker... nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kufuga Mbwa... pia mm nina mbwa wawili wa kizungu dume na jike na ninapenda san kufanya biashara ya mbwa naomba msaada wenu mniwezeshe kununua mbwa na kujengea mabanda napenda kufuga spishi zote za mbwa sema sina chanzo cha mbwa zaidi ya hao ambao ninao tu 0685335665,0624067585 kunipa zaidi ..asanteni
Gilbsonassan nakushauri andika kwa kirefu mchanganuo wa wazo lako hilo la biashara yako ili wadau waone kama ni wazo endelevu au la.hii yaweza saidia kujua hatua zipi wadau wachukue dhidi ya uhitaji wako.
 
Doh, hao wanaokula mbuzi mzima kwa siku, bora Kufuga hata mbuzi aseee akikaribia hata kufa wauza mchinja na ule supu
 
Back
Top Bottom