gilbsonassan
Member
- Jul 2, 2015
- 56
- 9
Salaam wakuu wanaJF
Mimi ni mwanafunzi katika chuo cha St Augustine kilichopo Muheza tanga ngazi ya cheti cha community health worker... nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kufuga Mbwa. Pia mm nina mbwa wawili wa kizungu dume na jike na ninapenda san kufanya biashara ya mbwa naomba msaada wenu mniwezeshe kununua mbwa na kujengea mabanda napenda kufuga spishi zote za mbwa sema sina chanzo cha mbwa zaidi ya hao ambao ninao tu.