Msaada Wa Mtoto wangu anaumwa

Msaada Wa Mtoto wangu anaumwa

Mfanyie tapid sponging on your way to hospital, yn chovya sponge au kitambi kwenye maji kisha muekee kwenye komo, kwapani na tumboni wakati huo uwe umeshampa PCM susp.. au tabs. Pole sana I feel your pains,
Kitambaa I mean smart nayo duh imeandika kitambi kwa umbea wake[emoji15]
 
ISIS Sasa ndugu daktari anapomtibu mtu anamtibu kulingana na clinical dx mfano tu mzuri....mgonjwa kaenda hospital anaumwa bega la kulia na blood pressure kwenye huo mkono is very high basi daktari akakupa dawa lets say A...ww kwa kutaka kuipeleleza uka-google kama unavyosema bac google ikakuletea taarifa kwamba dawa A inatibu moyo sasa ww kwasababu unabishana na reality unasema daktari kanipa dawa isiyo sahihi naumwa bega la kulia kanipa dawa A ya moyo wali na wapi basi unamshukuru Google unaenda duka la dawa unamwambia na kwasababu yuko kibiashara anakupa dawa B ya kutuliza maumivu na unaenda nyumbani swadakta kabsa huku ukiwaeleza watu namna daktari asivyokuwa na uweledi....oohh poor patient after a year unakua IPD ukihangaika ugonjwa wa moyo umekua chronic na hautibiki tena kwasababu hukutaka kuwa kama mgonjwa bali mtahini wa daktari...change brother medicine is broad only expert ndie ni mtu sahihi unapokua mgonjwa ndo maana hata daktari akiugua anatibiwa na daktari...ndugu tafadhali kubali hata kidogo kubadili misimamo hatarishi..
 
Mfanyie tapid sponging on your way to hospital, yn chovya sponge au kitambi kwenye maji kisha muekee kwenye komo, kwapani na tumboni wakati huo uwe umeshampa PCM susp.. au tabs. Pole sana I feel your pains,
Embicile!

Hv mnavyoandika pcm sups sijui tabs mnadhani kila mtu hapa duniani ni medical practioner?

kumbafu kabisa wewe.
 
ISIS Sasa ndugu daktari anapomtibu mtu anamtibu kulingana na clinical dx mfano tu mzuri....mgonjwa kaenda hospital anaumwa bega la kulia na blood pressure kwenye huo mkono is very high basi daktari akakupa dawa lets say A...ww kwa kutaka kuipeleleza uka-google kama unavyosema bac google ikakuletea taarifa kwamba dawa A inatibu moyo sasa ww kwasababu unabishana na reality unasema daktari kanipa dawa isiyo sahihi naumwa bega la kulia kanipa dawa A ya moyo wali na wapi basi unamshukuru Google unaenda duka la dawa unamwambia na kwasababu yuko kibiashara anakupa dawa B ya kutuliza maumivu na unaenda nyumbani swadakta kabsa huku ukiwaeleza watu namna daktari asivyokuwa na uweledi....oohh poor patient after a year unakua IPD ukihangaika ugonjwa wa moyo umekua chronic na hautibiki tena kwasababu hukutaka kuwa kama mgonjwa bali mtahini wa daktari...change brother medicine is broad only expert ndie ni mtu sahihi unapokua mgonjwa ndo maana hata daktari akiugua anatibiwa na daktari...ndugu tafadhali kubali hata kidogo kubadili misimamo hatarishi..
Yaani naona unampango wa kubishana kuliko kunielewa! Kama bega linauma na doctor amekwambia una ugonjwa wa moyo, uki google utaona symptoms za ugonjwa wa moyo ni chest pains na bega and so forth, hivyo utajuwa uko kwenye right track na doctor. Ninachotaka ni kuwaelimisha watu wasiwe blind katika magonjwa. Mimi nimeishi marekani for several years na majority ya watu Kyle wana information ya dawa wanazotumia. Sio kama hapa unamuuliza mtu doctor amekupa dawa gani na anakujibu vidonge vyekundu au ameniandikia sindano. Nia yangu kubwa ni kuwafanya watanzania wawe aware na matumizi ya dawa wanazo pewa na kuzifahamu! Kwani kuna ubaya gani mtu kupata knowledge? Au wewe ni doctor wa kujiona kama mungu mtu? Information won't harm my dear fellow!
 
Nitamshauri kila mtu hivyo! Huwezi kujua mara ngapi watu wamepona kwa kuhakikisha wanapata dawa sahihi! Sasa hivi ukienda hospital doctors wanakupa dawa kama pipi ukienda kwenye nyumba za watu utafikiri kila mtu ana pharmacy nyumbani kwake! Pathetic! Na nime notice doctors wengi wa bongo wana kuwa offended ukimuuliza maswali!

Sio kila anayevaa koti jeupe NA stethoscope inaning'inia shingoni ni daktari!....mswada umesogezwa bungeni wananchi na baadhi ya wabunge mka shout kwa waziri!...
Endeleeni kugoogle!..huko ndio mnakutana na matango pori mnavimba na midomo!...
Uliona wapi google ikamtibu binadamu au inakupa diagnosis wakati hujahudhuria medical school!..
Pole sana,huko utapata right information and wrong information na zitakuchanganya kwa sababu hujaenda medical school!..
Google is a pool of wrong and right information lazima upate shida kwenye kuzichanganua....
Mwache daktari abaki kuwa daktari na mpe hadhi yake na umwamini atakusaidia kwa maana amekula kiapo baada ya miaka mitano shule plus 1year internship!...
 
IMG_0385.JPG

Imbecile wewe soma post zangu ili uweze kunielewa sio kuparamia tu, pathetic idiot go to hell, you piece of sh***t. Kiapo gani wanakula kila siku migomo watu wanakufa! Soma post zangu, ujue nina ongelea nini, kama utanielewa idiot
 
View attachment 493069

Sawa Dr Google!...[emoji40]
 
Are u medical personnel ??? Kama ni personnel pole kama siyo basi usimshauri mtu tena hvyo ndugu yangu!
Umeona mbali sana nakupongeza akiwa mjanja atalifanyia kazi ila kama si mtashi atadiss
 
ISIS Sasa ndugu daktari anapomtibu mtu anamtibu kulingana na clinical dx mfano tu mzuri....mgonjwa kaenda hospital anaumwa bega la kulia na blood pressure kwenye huo mkono is very high basi daktari akakupa dawa lets say A...ww kwa kutaka kuipeleleza uka-google kama unavyosema bac google ikakuletea taarifa kwamba dawa A inatibu moyo sasa ww kwasababu unabishana na reality unasema daktari kanipa dawa isiyo sahihi naumwa bega la kulia kanipa dawa A ya moyo wali na wapi basi unamshukuru Google unaenda duka la dawa unamwambia na kwasababu yuko kibiashara anakupa dawa B ya kutuliza maumivu na unaenda nyumbani swadakta kabsa huku ukiwaeleza watu namna daktari asivyokuwa na uweledi....oohh poor patient after a year unakua IPD ukihangaika ugonjwa wa moyo umekua chronic na hautibiki tena kwasababu hukutaka kuwa kama mgonjwa bali mtahini wa daktari...change brother medicine is broad only expert ndie ni mtu sahihi unapokua mgonjwa ndo maana hata daktari akiugua anatibiwa na daktari...ndugu tafadhali kubali hata kidogo kubadili misimamo hatarishi..
We kijana unajua medical iko very broad kwasababu dawa dawa inaweza kuwa moja inatibu magonjwa zaid ya hata mawili hapo hapo magonjwa yanaweza yakawa zaidi Mean Two or more diagnosis but de same drug ss yy anakariri google [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
View attachment 493069
Imbecile wewe soma post zangu ili uweze kunielewa sio kuparamia tu, pathetic idiot go to hell, you piece of sh***t. Kiapo gani wanakula kila siku migomo watu wanakufa! Soma post zangu, ujue nina ongelea nini, kama utanielewa idiot
We ndo umeparamia unatibu watu kwa google na c utaalam kuwa mpole muelewe dk anavyokuelekeza utakuwa huna iman na madktari kama ndo ivo jigange mwnyewe ss
 
Wewe pia hujasoma post zangu na hunielewi! Kweli sina imani na binadamu bali Mwenye Enzi Mungu mwenyewe! Ninacho kazania ni ukiwa mgonjwa na ukienda hospital, doctor akikuandikia dawa, jaribu na wewe mwenyewe kujipa ufahamu wa huo ugonjwa ulio nao, ndiyo maana nikasema google ujue hizo dawa alizokuwandikia zikoje... ni katika hali ya kupata ufahamu, mfano kuna watu hawajui kuwa antibiotics lazima umalize dozi hata kama unajiona umepata nafuu, sasa wengine wanaichukulia kama paracetamol! Hivyo aki google atajielimisha! Hakuna kitu kizuri hapa duniani kama kuwa makini na afya yako mwenyewe, duh! I hope hapo umenielewa ndugu yangu kama bado please chill out maana nishachoka ku explain! JC!
 
Tuwe wa kweli madaktari wengi ws kibongo nina mashaka nao, yan baadhi yao wengi naona kama wanabahatisha tu watupu!
Tuendelee kuuguza na kuumwa utakuja gundua ukwel wa hili nililosema
 
Nenda hospital Dr akamwone mtoto amfanyie vipimo zaidi ikiwezekana mwone Dr wa watoto/maskio
 
Tuwe wa kweli madaktari wengi ws kibongo nina mashaka nao, yan baadhi yao wengi naona kama wanabahatisha tu watupu!
Tuendelee kuuguza na kuumwa utakuja gundua ukwel wa hili nililosema

Sio kweli!...wewe inawezekana huwa unatibiwa na "tabibu"...nenda hospitali kama regency,kairuki,tmj,hindu mandal,hata muhimbili utawakuta madaktari safi!..
Tanzania mbona inazalisha madaktari/madaktari bingwa wazuri tu hadi wanakubalika nje ya nchi
Nenda botswana na namibia kule utawakuta wanafanya kazi
Mi nakupinga kwa hilo tatizo lenu mnaenda kwenye vidispensary vya uchochoroni lazima ukutane na huduma ya kiwango cha chini
 
Kwa hiyo kila mtu aende hizo ulizotaja, kumbuka kuna nangaramo, tarime, kagera vijijini, kigoma kasulu huko, wote hao mtu akiumwa apande gari kutafuta hizo hospital?? Nawewe inadhihirisha mtupu sana kichwani huwez nyavua kitu kwa mapana!
All in all hospital nyingi ukifika sasa hivi wamekariri magonhwa mawili tu
1. Malaria
2. UTI

Atakae jiongeza hapo ni yule alie deep
 
Hizo nimetolea mfano tu!..jiongeze mkuu
Hata huko ulipopataja kuna hospitali pia kuna madaktari!...kuna hospital za mikoa na wilaya madaktari wake wanatoa huduma vizuri kwa weledi ila kinacho waangusha ni vipimo na vitendea kazi!..
Kupimwa malaria na uti ni wewe mwenyewe kadri utakavyojieleza kwa daktari!....
Acha tabia ya kubeza madaktari!..
 
Siwabezi ila nimesema baadhi na usidhan ni miungu watu baadhi tunesoma nao baadhi tunashinda nao kwnye site zetu weupe elewa hivyo hutak acha
 
Back
Top Bottom