Kitambaa I mean smart nayo duh imeandika kitambi kwa umbea wake[emoji15]Mfanyie tapid sponging on your way to hospital, yn chovya sponge au kitambi kwenye maji kisha muekee kwenye komo, kwapani na tumboni wakati huo uwe umeshampa PCM susp.. au tabs. Pole sana I feel your pains,