Msaada Wa Mtoto wangu anaumwa

Msaada Wa Mtoto wangu anaumwa

Ila kusema ukweli madaktari wa bongo si wote wanafahamu wanachotajiwa kufanya. Kama hukujiongeza kidogo wanakuuwa. Mifano hai iko mingi sana Sana. Kusoma darani na kupambanua ktk azingira halisia ni vitu tofauti Sana.
 
Siwabezi ila nimesema baadhi na usidhan ni miungu watu baadhi tunesoma nao baadhi tunashinda nao kwnye site zetu weupe elewa hivyo hutak acha
Si umesoma nao kajitibu basi kama huwaelewi elewi hahaha wabongo ss wajuaji saana dooh
 
Nitamshauri kila mtu hivyo! Huwezi kujua mara ngapi watu wamepona kwa kuhakikisha wanapata dawa sahihi! Sasa hivi ukienda hospital doctors wanakupa dawa kama pipi ukienda kwenye nyumba za watu utafikiri kila mtu ana pharmacy nyumbani kwake! Pathetic! Na nime notice doctors wengi wa bongo wana kuwa offended ukimuuliza maswali!
Ni kweli haswa madaktari vijana wanadhani unawadharau ukimuuliza maswali.
 
View attachment 493069
Imbecile wewe soma post zangu ili uweze kunielewa sio kuparamia tu, pathetic idiot go to hell, you piece of sh***t. Kiapo gani wanakula kila siku migomo watu wanakufa! Soma post zangu, ujue nina ongelea nini, kama utanielewa idiot
Dada, ni wewe kweli? Naona wamekutibua kweli kweli. Pole!
 
Hata Mimi mweupe ila naweza nimewasaidia wengi nimeokoa maisha ya wengi kuna wachache pia sikuweza kuwasaidia inawezekana infrastructures au uwezo wangu binafsi n.a. experience
Jambo moja tunalotakiwa kujifunza ni kufanya maamuzi sahihi mapema kwamba unaweza kuwa wa msaada toa kama laah mwahishe muhitaji kwa anayeweza usipoweza kujua kwamba hapa nahitaji second opinion mkitubeza mi naona poa tu
 
kuna hispitali ya watoto ipo kariakoo mkuu its the best. Nasema its the best sababu hawajawahi kuniangusha
 
Pole sana, kimbilia hospital haraka sana, alafu kuwa na simu yako mkononi dawa yeyote ata kayo andikiwa google ili uhakikishe matumizi yake na side effect yake! Na ugonjwa atakao ambiwa google , madaktari wa sasa ni biashara mbele! Mola akutangulie!

Are u medical personnel ??? Kama ni personnel pole kama siyo basi usimshauri mtu tena hvyo ndugu yangu!
kama hujui jinsi ya kutumia google kwenye hizi issue basi usimkosoe huyu jamaa, myself google ni advisor mzuri sana
 
Haraka haraka pia naona daktari aliemuona mwanzo alipanic, naona midawa kampa mikali sana kuliko hata complain ya mwanzo , hizi hispital za binafsi wanatumia kutojua kwetu kutuandikia midawa aghali bure,,,,, dawa za United state pharmacopia za nini
United state pharmacopoeia ni kitabu kilichotumika kutengeneza formula ya dawa husika mkuu,hivyo lazima kiandikwe ili kui identify dawa
 
Kuugua sikio kwa watoto ni identification ya magonjwa mengi yanayowasumbua watoto..daktar alikupa dawa nzuri sana ambazo ni strong antbiotics akiwa na uhakika mwanao atapona but the isssue is fanya check up kwa mtoto kama malaria,na kupungua kwa damu,..kwan kwa dawa alizopewa kama ingekua ni infections ya kawaida ya sikio angepona ...lastly doctor did best kwenye uchaguz wa hzo dawa
 
Usitumie google kutafuta matibab ya tatzo la mwanao fata ushaur wa daktar au kama hauna iman nae nenda kwa mfamasia ...
 
Haraka haraka pia naona daktari aliemuona mwanzo alipanic, naona midawa kampa mikali sana kuliko hata complain ya mwanzo , hizi hispital za binafsi wanatumia kutojua kwetu kutuandikia midawa aghali bure,,,,, dawa za United state pharmacopia za nini
Mbona na wewe kama ume"panic" midawa mikali mikali kivipi?au ulitarajia atibiwe vipi? Kama wadau wengine walivyo mshauri arudi tena hospital, kutumia dawa Fulani haizuii mgonjwa kupata maradhi mapya.Tatizo analolieleza mwenzetu ni shida ya vipele au kuvimba vimba ndiyo shida kubwa mpya,kama itakuwa ni "chicken pox" kwa mfano haiponyeshwi na hizo antibiotic, madawa yake ni kama Calamine lotion au acyclovir.Daktari alitoa dawa nzuri tu.
 
Mfanyie tapid sponging on your way to hospital, yn chovya sponge au kitambi kwenye maji kisha muekee kwenye komo, kwapani na tumboni wakati huo uwe umeshampa PCM susp.. au tabs. Pole sana I feel your pains,
Edit maneno yako boss
 
ISIS Sasa ndugu daktari anapomtibu mtu anamtibu kulingana na clinical dx mfano tu mzuri....mgonjwa kaenda hospital anaumwa bega la kulia na blood pressure kwenye huo mkono is very high basi daktari akakupa dawa lets say A...ww kwa kutaka kuipeleleza uka-google kama unavyosema bac google ikakuletea taarifa kwamba dawa A inatibu moyo sasa ww kwasababu unabishana na reality unasema daktari kanipa dawa isiyo sahihi naumwa bega la kulia kanipa dawa A ya moyo wali na wapi basi unamshukuru Google unaenda duka la dawa unamwambia na kwasababu yuko kibiashara anakupa dawa B ya kutuliza maumivu na unaenda nyumbani swadakta kabsa huku ukiwaeleza watu namna daktari asivyokuwa na uweledi....oohh poor patient after a year unakua IPD ukihangaika ugonjwa wa moyo umekua chronic na hautibiki tena kwasababu hukutaka kuwa kama mgonjwa bali mtahini wa daktari...change brother medicine is broad only expert ndie ni mtu sahihi unapokua mgonjwa ndo maana hata daktari akiugua anatibiwa na daktari...ndugu tafadhali kubali hata kidogo kubadili misimamo hatarishi..
Tumia simple words ,mfano DX mie na ubashite wangu nimekwama.
Ila mtaalamu mmoja kani nong'oneza ni Diagnoses
 
Back
Top Bottom