Msaada wa nafasi ya kazi

Msaada wa nafasi ya kazi

Joseph Gadiel

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2022
Posts
407
Reaction score
713
Habari wakuu
Tafadhali kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata fursa ya kazi iwe katika taasisi, kampuni au biashara yake au kwa mtu mwingine anayemfahamu nitashukuru sana.

Nina uzoefu katika kazi za IT, Sales and marketing,Project Management pia nipo tayari kujifunza na kufanya kazi yoyote ya tofauti katika mazingira mapya.

Makazi yangu kwa sasa ni Manyara ila nipo tayari kufanya kazi popote.

Natanguliza shukrani
 
Kwenye IT unachojua sales and marketing services tu hakuna kingine ? Mbona tunakwama hivi
 
Back
Top Bottom