PathwayzZote
Member
- Jul 4, 2024
- 78
- 102
Wakuu habari 💪
Bila shaka humu wapi wahanga kibao wa kufungiwa namba ya nida na hawa authority 😮💨
Na pia kuna wataalamu wa mambo humu🫵
Tuliofungiwa tufanyaje ili tuweze kuzirudisha namba za NIDA
Zilizofungwa?
Wamenifungia kwa sababu ya kitokuchukua kitambulisho
Na ukiangalia mimi niko mbali balaa mpaka kwenda kuchukua nauli na mda nimekosa
Niliapply toka 2021