Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Unapiga nyetoUtajua hujui. Poleee
Unapiga nyetoUtajua hujui. Poleee
Ndo nini hiko?Unapiga nyeto
Unajipigaga vidolehukochiniNdo nini hiko?
Sihitaji kubypass bali nahitaji. Njia za kufwata ili kuiactivate tenaWalitangaza kwa miezi kadhaa ukatumiwa ujumbe wapi ukachukuwe kitambulisho, hukwenda leo unataka ujuwe namna ya ku-bypass namba ya NIDA kwa nini tunapenda kujipa shida wenyewe?
Lazima niende mimi kama mimi???Nenda ofisi ya Nida ulikojiandikisha! Watakufungulia.
Ni ishu ya kutokufata kitambulishoKwanza ujue una kesi ya kujibu?Anza kutupa sababu za kufungiwa nida yako?
Hata ulikua ukituma mtu wanampatia. Wewe ni mzembe mkuu hakuna namna nyingine ya kukuelezea.Wakuu habari 💪
Bila shaka humu wapi wahanga kibao wa kufungiwa namba ya nida na hawa authority 😮💨
Na pia kuna wataalamu wa mambo humu🫵
Tuliofungiwa tufanyaje ili tuweze kuzirudisha namba za NIDA
Zilizofungwa?
Wamenifungia kwa sababu ya kitokuchukua kitambulisho
Na ukiangalia mimi niko mbali balaa mpaka kwenda kuchukua nauli na mda nimekosa
Niliapply toka 2021
Sikuona meseji mkuuHata ulikua ukituma mtu wanampatia. Wewe ni mzembe mkuu hakuna namna nyingine ya kukuelezea.
Walituma meseji kwa kila mtu qmbae hakua amechukua akachukur vinginevyo watafungia namba. Walitoa zaidi ya mwezi mzima, baadae wakatoa extension tena ndio ikafika mwisho wakaamua kufungia.Mh! Kwa mara ya kwanza nackia number ya NIDA inafungiwa aise.
Walituma meseji kwenye namba uliyojisajilia. Why watu mnabadilisha namba mara kwa mara? Namba yangu niliyonayo ni ile ile toka 2007. Sijawahi kufikiria kuibadilisha.Sikuona meseji mkuu
Na namba niliyosajilia 2021 leo hii 25
Sina mzeee
AiseWalituma meseji kwa kila mtu qmbae hakua amechukua akachukur vinginevyo watafungia namba. Walitoa zaidi ya mwezi mzima, baadae wakatoa extension tena ndio ikafika mwisho wakaamua kufungia.
Mimi nilijiandikisha 2018 meseji yao ya kufungia ndio ilinipeleka kuchukua, nisingeenda kuchukua.
Ni kidude kitamuNdo nini hiko?
SasaWalituma meseji kwenye namba uliyojisajilia. Why watu mnabadilisha namba mara kwa mara? Namba yangu niliyonayo ni ile ile toka 2007. Sijawahi kufikiria kuibadilisha.
Lazima mtu uwe na mawasiliano ya kudumu.
Wachaa wee, 😂😂😂Ni kidude kitamu
Lazima niende mimi kama mimi???
Me nilichukua kitambulisho na Bado imefungiwaWalitangaza kuwa kama hutoenda kuchukua kitambulisho Cha nida watakufungia namba yake
Kwahiyo nahisi labda kiongozi hakuenda kuchukua kitambulisho