PathwayzZote
Member
- Jul 4, 2024
- 78
- 102
Tumia VPN huko TCRA hapenyi hata afanye niniTuliofungiwa tufanyaje ili tuweze kuzirudisha namba za nida
Zilizofungwa???
Mh! Kwa mara ya kwanza nackia number ya NIDA inafungiwa aise.Wakuu habari 💪
Bila shaka humu wapi wahanga kibao wa kufungiwa namba ya nida na hawa authority 😮💨
Na pia kuna wataalamu wa mambo humu🫵
Tuliofungiwa tufanyaje ili tuweze kuzirudisha namba za nida
Zilizofungwa???
Kwanza ujue una kesi ya kujibu?Anza kutupa sababu za kufungiwa nida yako?Wakuu habari 💪
Bila shaka humu wapi wahanga kibao wa kufungiwa namba ya nida na hawa authority 😮💨
Na pia kuna wataalamu wa mambo humu🫵
Tuliofungiwa tufanyaje ili tuweze kuzirudisha namba za nida
Zilizofungwa???
Walitangaza kuwa kama hutoenda kuchukua kitambulisho Cha nida watakufungia namba yakeMie ndo hata sielewi, inafungwaje yaan? Lol
Walitangaza kwa miezi kadhaa ukatumiwa ujumbe wapi ukachukuwe kitambulisho, hukwenda leo unataka ujuwe namna ya ku-bypass namba ya NIDA kwa nini tunapenda kujipa shida wenyewe?Wakuu habari 💪
Bila shaka humu wapi wahanga kibao wa kufungiwa namba ya nida na hawa authority 😮💨
Na pia kuna wataalamu wa mambo humu🫵
Tuliofungiwa tufanyaje ili tuweze kuzirudisha namba za NIDA
Zilizofungwa?
walitangaza wapi? maana hii wengine ndio tunasikia humuWalitangaza kwa miezi kadhaa ukatumiwa ujumbe wapi ukachukuwe kitambulisho, hukwenda leo unataka ujuwe namna ya ku-bypass namba ya NIDA kwa nini tunapenda kujipa shida wenyewe?
Yaan hapo andaa Ndoo ya lita 20 yenye maji na mfuniko kisha chukua namba yako ya nida itumbukize humo baada ya hapo funika na mfuko kisha bana kabisa vizuri hapo utakua umeshaifunga namba yako ya nidaMie ndo hata sielewi, inafungwaje yaan? Lol
Vipi umekunywa chai?Yaan hapo andaa Ndoo ya lita 20 yenye maji na mfuniko kisha chukua namba yako ya nida itumbukize humo baada ya hapo funika na mfuko kisha bana kabisa vizuri hapo utakua umeshaifunga namba yako ya nida
Una swali lingine uliza
NENDA NIDA Acha kutafuta njia za mkato mkuuWakuu habari 💪
Bila shaka humu wapi wahanga kibao wa kufungiwa namba ya nida na hawa authority 😮💨
Na pia kuna wataalamu wa mambo humu🫵
Tuliofungiwa tufanyaje ili tuweze kuzirudisha namba za NIDA
Zilizofungwa?
Njoonikugonge kimojaVipi umekunywa chai?
Kumbe una nyege? PoleeeeNjoonikugonge kimoja
Wewe ukishikwa na nyege hua unapiga Puli au sio?Kumbe una nyege? Poleeee
Piga puli fastaa ukae sawa,
Utajua hujui. PoleeeWewe ukishikwa na nyege hua unapiga Puli au sio?