Msaada wa namna ya kuirudisha namba ya NIDA iliyofungwa

Walitangaza kwa miezi kadhaa ukatumiwa ujumbe wapi ukachukuwe kitambulisho, hukwenda leo unataka ujuwe namna ya ku-bypass namba ya NIDA kwa nini tunapenda kujipa shida wenyewe?
Sihitaji kubypass bali nahitaji. Njia za kufwata ili kuiactivate tena
 
Hata ulikua ukituma mtu wanampatia. Wewe ni mzembe mkuu hakuna namna nyingine ya kukuelezea.
 
Mh! Kwa mara ya kwanza nackia number ya NIDA inafungiwa aise.
Walituma meseji kwa kila mtu qmbae hakua amechukua akachukur vinginevyo watafungia namba. Walitoa zaidi ya mwezi mzima, baadae wakatoa extension tena ndio ikafika mwisho wakaamua kufungia.

Mimi nilijiandikisha 2018 meseji yao ya kufungia ndio ilinipeleka kuchukua, nisingeenda kuchukua.
 
Aise
 
Walituma meseji kwenye namba uliyojisajilia. Why watu mnabadilisha namba mara kwa mara? Namba yangu niliyonayo ni ile ile toka 2007. Sijawahi kufikiria kuibadilisha.

Lazima mtu uwe na mawasiliano ya kudumu.
Sasa
Nilisajili namba angu yenye utambulisho wangu
.ile nyingine haikuwa na utambulisho wangu
 
Ndio wanavyotaka.Yaani siamini tuna wawakilishi Bungeni lakini wamekubali tuburutwe tu na nida.Wao ndio walizengua sasa kwa kutumia unyonge wetu wanategeuzia kibao.Yaanj nipo Songea nirudi Arusha kufuata kitambulisho nauli na pia kufikia anagharamia nani?.Baada ya kukamilisha taratibu nimefuatilia kitambulisho miaka miwili sijapata.
Lazima niende mimi kama mimi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…