Mributz JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 300 Reaction score 663 Jul 16, 2025 #1 Habarini Nimepata makazi apa mkoa wa arusha maeneo ya olasiti Tokea nijenge nina mwaka sasa Nilikuwa naomba msaada jinsi gani ya kupata hati ya nyumba Kama mtu ana mtu huku aliopo kwenye hiyo mission anisaidie kuniunga nae Thanks
Habarini Nimepata makazi apa mkoa wa arusha maeneo ya olasiti Tokea nijenge nina mwaka sasa Nilikuwa naomba msaada jinsi gani ya kupata hati ya nyumba Kama mtu ana mtu huku aliopo kwenye hiyo mission anisaidie kuniunga nae Thanks
qinglong Senior Member Joined Mar 23, 2017 Posts 172 Reaction score 439 Jul 16, 2025 #2 Share namba yako PM.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,734 Reaction score 140,476 Jul 16, 2025 #3 Kumbe kuna hati ya nyumba? Mimi najua hati ya kiwanja
Mributz JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 300 Reaction score 663 Jul 17, 2025 Thread starter #4 Kipenzi Changu said: Kumbe kuna hati ya nyumba? Mimi najua hati ya kiwanja Click to expand... Sifahamu Naomba kueleweshwa
Kipenzi Changu said: Kumbe kuna hati ya nyumba? Mimi najua hati ya kiwanja Click to expand... Sifahamu Naomba kueleweshwa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 19, 2025 #5 Ngoja wajuzi waje