Sisiemu hoyeee...Utapata 1/3 ya michango yako utayolipwa kama mshahara kwa miezi 6.Baada ya hapo ni kusubiri mpaka ufike miaka 60. Ukiona ngumu ishi kimjini mjini watu wakusovie mambo upate kibunda chote kamili.
Kumbe kuna mchongo kama hiyo..Utapata 1/3 ya michango yako utayolipwa kama mshahara kwa miezi 6.Baada ya hapo ni kusubiri mpaka ufike miaka 60. Ukiona ngumu ishi kimjini mjini watu wakusovie mambo upate kibunda chote kamili.
Nimwkucheki mkuu PMNaongea kama nilivyopitia
Moja ya kanuni za kulipwa mafao yako kabla ya muda wa kustaafu ni kuachishwa kazi kama mgonjwa.
Nenda kwenye kituo cha TB (Kifua kikuu), ongea lugha sanifu wakuandikiea cheti kama muhanga
Peleka cheti NSSF kama umeachishwa kazi kutokana na maradhi, vuta mshiko wako potea, usimwachie hata buku mlinzi.