Makato kwa anayepokea au anayetuma... Ulishawahi tuma pesa from skrill to bank account?Skrill makato makubwa sana mkuu. Wewe unatumia bank gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makato kwa anayepokea au anayetuma... Ulishawahi tuma pesa from skrill to bank account?Skrill makato makubwa sana mkuu. Wewe unatumia bank gani?
Ili akutumie pesa unatakiwa umtumie details zipi..?Ni simple tu mkuu unamtumia mtumaji account yako then ataenda kutuma kama kawaida japo kuna sending fee kama ilivyo Mpesa nk.