Msaada wa namna ya kupokea fedha kutoka nje ya nchi

Msaada wa namna ya kupokea fedha kutoka nje ya nchi

Mwambie akutumie kutumia njia ya TERRA Payment pesa inaingia moja kwa moja kwenye M-pesa.
Kama Ni kuanzia 10m kushuka chini.
Hii ni njia rahisi sana....hata Kama unataka kutoa sio lazima uende Bank kama njia zingine kama WESTERN UNION au MONEY GRAM.
Screenshot_20230831-183036.jpg
 
Back
Top Bottom