Msaada wa namna ya kuweka zuio la shambulio ( restraining order )


Ahsante sana kwa marekebisho mazuri especially kwenye spelling za stalking.. it was my bad

But consistently iko sahihi kabisa mkuu, According to Cambridge dictionary, consistently means marked by harmony, regularity or steady continuity.. Hivyo neno hilo limetumika sehemu sahihi kabisa[emoji41].. Anyways, ahsante tena kwa kunirekebisha spelling za neno stalking [emoji1431]
 

Mzee umeshusha nondo nzuri, nitajaribu kumuelewesha huyu binti kwa muktadha huo uliousema.
 
Ushauri mzuri though umejaribu kuwa nabii au sheikh yahya kwa kutengeneza scenario ambayo haipo hivyo.. mimi sijaoa huyu binti, she is muu friend kama nilivyoeleza chief. Ingekua mke au something of the sort ningekuwa nishalivalia njuga mwenyewe
Hao wamesha pata Mtoto pamoja wamesha kua ndugu,ni jukumu lako Kama rafiki jaribu kuwaunganisha ili Mtoto apate malezi ya pande zote mbili! Usiwe msitari wa mbele kuwatenganisha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…