Pole sana mkuu ngoja watakuja kukupa muongozo wa Nini cha kufanyaMwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu,nilikopa mkopo wa mwaka mmoja benki ya CRDB.Nikiwa mtumishi wa serikali niliruhusu makato kwenye mshahara wangu moja kwa moja.Makato tulikubaliana yaanze mwezi wa saba.Ajabu huo huo mwezi wa sita waliingiza mkopo na kuukata rejesho zima la mwezi.Nilipowafuata walisema ni kweli wanatakiwa wazirejeshe.Kwanza pesa waliyokata ni kubwa tofauti na rejesho la mwezi.Baada ya kuvutana sana wakarejesha lakini wakaikata sh.80000.Nilipohoji ni ya nini,wakawa wakali kweli .Mwezi wa saba wakakata rejesho full kwenye mshahara.Maana yake mwezi wa saba walichukua rejesho kamili kujumlisha ziada ya sh.80000!!!!Mwezi huu wa nane wamechukua tena hela kwenye akaunti yangu.Tumevutana sana wamerejesha ila napo wamekata sh.80000.Naombeni kuelekezwa huu mgogoro wangu ninaweza kuupeleka kwa nani kuomba msaada.Hapa nilipo nimeshalifikisha hadi kwa mameneja wa matawi lakini naona hakuna msaada wowote.Labda nifafanue kwa nini akaunti hii siiachi na salio sifuri ni kwa sababu mimi nina tatizo la kiafya mara nyingi ninanunua dawa.Nyie wenyewe ni mashahidi sasa hivi hizi bima zetu ni tia maji tia maji.Gharama nyingi unaambiwa uchangie!!!
Anza na afisa utumishi, maana yeye ndo huwa anatoa kibali mtumishi kupewa mkopo au asipewe.. Hivyo ana mamlaka fulani ya kuwahoji kwa nini wameenda kinyume na makubaliano.Mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu, nilikopa mkopo wa mwaka mmoja benki ya CRDB.Nikiwa mtumishi wa serikali niliruhusu makato kwenye mshahara wangu moja kwa moja.Makato tulikubaliana yaanze mwezi wa saba.Ajabu huo huo mwezi wa sita waliingiza mkopo na kuukata rejesho zima la mwezi.
Nilipowafuata walisema ni kweli wanatakiwa wazirejeshe.Kwanza pesa waliyokata ni kubwa tofauti na rejesho la mwezi.Baada ya kuvutana sana wakarejesha lakini wakaikata sh.80000.
Nilipohoji ni ya nini, wakawa wakali kweli .Mwezi wa saba wakakata rejesho full kwenye mshahara.Maana yake mwezi wa saba walichukua rejesho kamili kujumlisha ziada ya sh.80000!!!!Mwezi huu wa nane wamechukua tena hela kwenye akaunti yangu.
Tumevutana sana wamerejesha ila napo wamekata sh.80000.Naombeni kuelekezwa huu mgogoro wangu ninaweza kuupeleka kwa nani kuomba msaada. Hapa nilipo nimeshalifikisha hadi kwa mameneja wa matawi lakini naona hakuna msaada wowote.
Labda nifafanue kwa nini akaunti hii siiachi na salio sifuri ni kwa sababu mimi nina tatizo la kiafya mara nyingi ninanunua dawa. Nyie wenyewe ni mashahidi sasa hivi hizi bima zetu ni tia maji tia maji.Gharama nyingi unaambiwa uchangie!!!
Asante kwa ushauri mkuu!Labda nikuweke wazi!Sasa hivi watumishi tunaomba nkopo sisi wenyewe kwenye mfumo.Hadi makato tunajikadiria wenyewe.Afisa utumishi ana nafasi ndogo sana.Yaani ni kama sehemu ya kazi yao tunaitimiza sisi.Nimejaribu kuwashirikisha lakini wao wanadai tatizo ni benki.Matawi haya ya hapa mkoani ukiwafuata nao wanadai tatizo liko makao makuu,yaani ni full kutupiana mpira!!Sema kiongozi hiyo NB yako hapo juu umenishtua yaani nguvu zimeniisha!Anza na afisa utumishi, maana yeye ndo huwa anatoa kibali mtumishi kupewa mkopo au asipewe.. Hivyo ana mamlaka fulani ya kuwahoji kwa nini wameenda kinyume na makubaliano.
NB
CRDB wamejaa matapeli.