Msaada wa pikipiki nzuri

sodya

Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
60
Reaction score
19
Ndugu wana Jf habari zenu!?

Ndugu nahitaji ninunue pikipiki kwa matumizi binafisi hasa kwa kuendea kazini... Madhingira sio lafiki sana yaani Barabara sio nzuri na ni ya vumbi na vijilma vidogo vidogo....

Naombeni ushauri ni nunue piki piki ya aina gani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea na bajeti yako, unashilingi ngapi? Lakini nijuavyo kwa barabara ambayo siyo rafiki na ya vumbi, pikipiki nzuri inatakiwa iwe sport motorcycle . na siyo boxer au TVS.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TVS ni machine nzuri ila vipuri vyake bei juu na havijachakachuliwa na mchina...very good fuel consuption 68+km per litre

kweli hukuweka huru
 
Kwa matumizi binafsi ukizingatia bajeti yako chagua kati ya hizi
Boxer BM 150
Hero Honda
TVS au
Boxer 100
Hizo hazina mtetemo na imara sana pia fuel consumption yake ya kawaida kwa wastani 1ltr /km 60-65 ila mchina yoyote utakayochukua consumption ya mafuta iko juu 1ltr /40-45 pia ni mazito na yanatetemeka ukiwa kasi ktk gia ya mwisho unafika mapaja yanauma sababu ya mtetemo...hizo za kihindi hata muungurumo wake uko very well tuned hazina unnecessary noise kama Chinese made!...kila la kheri


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…