Msaada wa Princess kifo na maisha ya ajabu na dada wa beach

Msaada wa Princess kifo na maisha ya ajabu na dada wa beach

Mleta story utanisamehe kwahayq ntakayo sema .... kama hutojali jaribu kwenda kwwnye point unapoelezea story yako umendika maneno mengi lakini point za kutafta pili umeanza vibaya japo kwa mwendelezo wa story yako cjui kwa wengine lakini tayari nimesha pata picha itakavyo isha ...... mwisho kabisa kamahutojali badala yakuandika vipande viwili jaribu kutupa kipande kimoja kilicho jaaa (full package) story ipo very shallow
 
Kwanza mkuu hongera kwa maoni nimeyapokea
Siko vizuri kwenye kuandika haraka hasa ukizingatia uwezo wa simu yangu kuprocess sio mzuri
Nimeweka vipande viwili sababu moja ili ukivuunganisha iwe kipande kilichojaa
Kuhusu point ndio manjonjo mengi ila kuhusu mwisho wa story bado hujaujia kabisa sababu sio kwamba ndio kawin hapana baadae kuna mambo yatakwenda kivingine na kupitia mambo mengi simulizi yangu huko mbele imebase sana kwenye mapenzi na matokeo yake sio maisha, kwani hii story haitaisha vizuri
 
🤣🤣
Haya bwana nakuchalenge tu ndugu ... otherwise naisubiri kwa hamu ....let's gooooo
 
Wakuu samahani sana sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu
Nimeandika sehemu moja ngoja niiweke ila kabla ya kukucha ya pili lazima niiweke stay blessed
 
Sehemu ya 3
Maisha Mapya yaliendelea kwa Princess, maisha ya kula kulaa tu ambayo nilicheki tv mda wote, baada ya kama miezi minne alikuja na mwalimu akisema atakuwa akinifundisha ili mwakani nikipata nafasi nitarudia mtihani, aliniambia anafanya janja janja kwenye stytem ili kunichomeka hapo, niliupokea tu mawazo yake kwani sikuwa na mzuka na shule ukizingatia maisha ya nyumbani yalikuwa bomba sana

Miezi ilisonga, nilijifunza vizuri sana ili nimfurahishe princess, na kweli nilimaster sana vile mwalimu ananifundisha, kweli mwakani nilipata nafasi shule fulani nikaanza kusoma
mwaka huo ulikuwa mwaka mzuri sana kwangu kwani ndio mwaka wangu nilioanza kushiriki kula matunda la wanawake, siku acha kusoma kabisa kabisa na baada kama ya siku kadhaaa
Wakati narudi nyumbani, yule dada wa kazi aliniambia kuwa chumbani kwake anafilamu nzuri sana za watu wakicheza muziki na katuni

Nilistajabu sana sababu nilijua watu ni watu hawawezi ingiliana nankatuni kivyovyote vile, Tulishauliana na huyo house girl kuwa nakula na kisha naoga tunaenda kuangalia, kweli nilizama ndani kwa huyo dada wa kazi na aliwasha television yake
Baada ya muda kabisa ilianza muvie ya mdada akijishikashika mara akijitanua kisha alikuja mwanaume na kuanza kungonoka, kwa skills zangu tu zakijiweni nilijua hiyo ni x
fasta nikamwambia nihamishie kwenye memory card ili nikatizamapo mwenyewe chumbani kwangu ,

Ukitaka nikurushie tufanye kwanza sisi, wala sikujiuliza maana marafiki walikuwa wanasema ni raha alafu ndio unaonekana kidali sasa
Alivua nguo na mimi nikavua zangu
baada ya hapo nikamoandia akiwa amejilaza na maisha mapya yalianza alielekeza mashine kwenye kibuyu na nikaanza kupump, sikuwahi feel vile before but ilikuwa moja ya best moments zangu kabisa

kweli nilimaliza na sikuweza kuendelea na mtanange hamu yangu yote ilihamia kwenye kupewa zile video, Mimi siwezi kurusha zipo kwenye cd kama unataka nipe hiyo memory card mimi nikienda dukani nakuwekea ila kwa sharti moja
Lipi? ....
Nilijibu kwa ufupi sana kujua hilo sharti
Nataka tuwe tunafanya kila siku tukipata muda
Sawa twende ukachukue memory card

Niliongozana naye mpaka chumbani na kutoa memory card nikampa, kisha mimi nikalala zangu mchezo ule uliendelea sana mule ndani mpaka namaliza shule na ilichangia nisipate A sababu ni kama niliipa time kidogo kwenye akili yangu

ila yote ya yote nilifaulu na kupata shule ya sekondari ya bweni, Nakumbuka siku moja alituita wote na kusema wewe jiandane kesho unaondoka(akimaanisha yule house girl) kisha na mimi akasema nakulipia ada ya miaka minne hutarudi mpaka umalizs shule
Hivi mnajua ujinga wenu mimi ninaujua kitambo tu, wewe wa kuwa na kanda za ngono ndani? pili unamwaribu huyu mtoto
Thaibu unajua kuwa huu msaada utakuja kuulipia?
kasome sasa uje uuoneshe ukidume wako kwangu

Alimalizia hivyo akitabasamu na kwenda chumbani kituacha
Mimi: We unaona umechomesha haya fanya unipe kabla ya kuondoka
HG: mimi napoteza kazi wewe unataka mapenzi
Mimi: we nipee haitasaidia
HG: Usiku njoo room

Mimi nilinyanyuka na hamsini zangu nikaoga na kwenda kujinyoosha, nilikumbuka kuweka alarm saa 6 na robo ili niweze kwenda kulamba asali ya yule house girl

Mida iliyoyoma sana, nilishtuka saa tano na nusu, nilizima alarm kisha nikaamua kwenda sasa kuusaka utelezi kibingwa, ile nafungua mlango namkuta Princess sebleni huku ameketi kutizamia kwenye kordo na simu yake

Princess: Umeamka usiku kunanini?
Mimi: Nooo nakiu tu
Huku nikimyoosha moja kwa moja kwenye dispenser kuchukua maji
Princess yeye hakujibu kitu mpaka nikimuuliza kwanini? hakulala
Princess: Nimeamua tu ndani ac kali alafu usingizi sina
Mimi: Aaaa sawa

Nilirudi ndani nikiwa na stress maana sikutegemea kabisa kwamba huyu princess angekuwepo, kila dakika nilitoka kwenda kuchungulia kwenye tundubla kitasa na ningemwona Kakaa, muda uliyoyoma mpka saa tisa ambapo nilimwona akinyanyuka na kwenda chumbani kwake chapu kwa nilifungua mlango na kutoka kwenda kwa binti, tuliyafanya yetu chapu sana na saa 11 kasoro nikawa natoka, baada tu ya hatua kadhaaa niligongana nae uso kwa uso macho kwa macho na princess akiwa amekaa kwenye kitu chake pale sebleni

Naona mlikuwa mnaagana? Aliongea na kunyanyuka kwenda zake ndani
Binafsi sikuwa na lakusema kabisa kwani tayari nililirudia kosa hilo

ITAENDELEA
 
Back
Top Bottom