KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 4,132
- 5,108
Habarini wana JF,
Kuna kitu napitia..sijui kama nimeathirika na mahusiano niliyokuwa nayo ama ndio asili yetu wanawake ama ni hatua tu napitia katika maisha..
Iko hivi..nimekuwa na mahusiano na married man/mume wa mtu about 4+ yrs hivi, niseme tu nampenda sana ila tumetengana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu...
Issue ni kwamba katika hiyo miaka 4 nilikuwa na furaha sana na mapenzi hayo ya msimu..nilikuwa na yeye tu muda wote huo, sikuwahi kumsaliti (nampenda sana), sikuwa mgomvi kabisaa na familia alonayo, yalikuwa mapya kila siku, nilipata utulivu wa moyo na hisia kwa kuwa ni mtu mzima na hadi leo natamani turudiane ila haiwezekani,
Yalikuwa ni mahusiano yalinipa uhuru kuwa naye kwa kuwa anaishi mbali na familia na nisipokuwa nae basi kufanya kazi zaidi, kupumzika na kutokuwa na pressure ya kum'take care kila siku (anaenda nyumba kubwa siku zingine), hivyo nilikuwa na utulivu sana na amani kubwa.
Yamekuwa tofauti na mahusiano niliyowahi pitia zamani yale ya kugandana full time ama ya kijana ambaye hana utulivu/anakupa stress ambayo kwa kweli yalikuwa yananichosha muda mwingine mana bwana ana demands nyingi na mi nachoka hasa kama mapenzi hayapo...
Hivi sasa niko mwenyewe/single again ila kitu pekee natamani ni part time love/uke wenza tu...infact tayari nishampenda kaka mmoja hivi anaishi na mtu hawajaoana ila ndo naona is my type kabisaa ili nirelax na nifurahie mahusiano...sababu atakuwa bize kwangu na huko alipo baas..sijaweza kumueleza, natamani aanze yeye,so naipa muda..
Nina wivu nikimpenda mtu ila sio sana kwa mtu niliyemkuta ana huyo jamaa..naelewa so sileti ugomvi,
Hivi kuna KE/watu ambao mko kama mimi, mnapenda mahusiano ya part time/uke wenza?
Wanasaikolojia msaada tutani, hiki ni kitu cha kawaida?..
Naona ndo mahusiano pekee yanayonipa amani na utulivu,.kikubwa haki itendeke kila mtu na wanae na mji wake..
Wanaume mnachukuliaje hili suala?
NB: Zingatia uke wenza ni suala la agano la kale hadi sasa bila kujali dini wala asili
Na msije PM jmn😃 ni ngumu kumpenda mtu usiyemjua