Msaada wa Saikolojia: Nimetokea kupenda part time love/Uke wenza kuna kama mimi?

Msaada wa Saikolojia: Nimetokea kupenda part time love/Uke wenza kuna kama mimi?

Umeamsema ulikua na mahusiano na Mume wa mtu kwa miaka 4 halafu watu wanakusifu hapqma?

Ila ingekua huu Uzi umeletwa na Mwanaume alikua na mahusiano na mke wa mtu,angekoma kwa matusi na kejeli,

Acha kuharibu ndoa za watu na mahusiano ya watu,tafuta wa kwako,

Kifupi una nyota ya umalaya.
Niliyempenda nimekuta ana mtu..oops😃
 
Ni age tu imefika red light imeshawaka wakati wa kukutupa mkono umefika so nafsi yako inajiambia kabisa kwamba sasa siwezi kupata wa kuanza nae bali wa kumaliza nae yeyote awe mgane (aliyezika mke) au awe mume wa mtu ila unajaribu kuipeleka nafsi kwenye comfortable zone ukiiaminisha unataka mapenzi ya ku-share

Huwa inashangaza sana mwanamke ku-stick kimahusiano na waume za watu mimi huwa nadhani ni aina fulani hivi ya uwendawazimu.
 
Wewe ni Malayer,subiri siku upate kipigo kutoka kwa wenye mali ndio utajua,
Wewe ni mtu usiyejiamini,unapenda mtelemko,
Nashangaa watu kukusifu humu kwa kua na mahusiano na Mume wa mtu kwa miaka 4
Contrary to popular beliefs..si kweli
Si kama napenda mteremko kihiivyo i have my own life mazuri tu..labda kutojiamini ndo mana nimeuliza wanaSaikolojia,
Ss mwenye mali anipigie nini na Bwana ake kapata hisia na mimi pia😃?ni suala la kupigana ama kukubali hilo?
Binafsi sina muda wa kupigana wala kusema mtu vibaya
 
Ni age tu imefika red light imeshawaka wakati wa kukutupa mkono umefika so nafsi yako inajiambia kabisa kwamba sasa siwezi kupata wa kuanza nae bali wa kumaliza nae yeyote awe mgane (aliyezika mke) au awe mume wa mtu.

Huwa inashangaza sana mwanamke ku-stick kimahusiano na waume za watu mimi huwa nadhani ni aina fulani hivi ya uwendawazimu.
Kupata wa kumaliza nae ni dhambi kwani😃?
 
Back
Top Bottom