min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
😆😆😆safiSipendi mwanaume wa peke yangu ..

Naelewa kabisa...Infact sitaki umuache mkeo na sina shida nae
My wish u'maintain familia 2
Umeelewa tofauti?
Hongera sana. Natamani nipate mwanamke mwenye akili pana kama wewe.Habarini wana JF,
Kuna kitu napitia..sijui kama nimeathirika na mahusiano niliyokuwa nayo ama ndio asili yetu wanawake ama ni hatua tu napitia katika maisha..
Iko hivi..nimekuwa na mahusiano na married man/mume wa mtu about 4+ yrs hivi, niseme tu nampenda sana ila tumetengana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu...
Issue ni kwamba katika hiyo miaka 4 nilikuwa na furaha sana na mapenzi hayo ya msimu..nilikuwa na yeye tu muda wote huo, sikuwahi kumsaliti (nampenda sana), sikuwa mgomvi kabisaa na familia alonayo, yalikuwa mapya kila siku, nilipata utulivu wa moyo na hisia kwa kuwa ni mtu mzima na hadi leo natamani turudiane ila haiwezekani,
Yalikuwa ni mahusiano yalinipa uhuru kuwa naye kwa kuwa anaishi mbali na familia na nisipokuwa nae basi kufanya kazi zaidi, kupumzika na kutokuwa na pressure ya kum'take care kila siku (anaenda nyumba kubwa siku zingine), hivyo nilikuwa na utulivu sana na amani kubwa.
Yamekuwa tofauti na mahusiano niliyowahi pitia zamani yale ya kugandana full time ama ya kijana ambaye hana utulivu/anakupa stress ambayo kwa kweli yalikuwa yananichosha muda mwingine mana bwana ana demands nyingi na mi nachoka hasa kama mapenzi hayapo...
Hivi sasa niko mwenyewe/single again ila kitu pekee natamani ni part time love/uke wenza tu...infact tayari nishampenda kaka mmoja hivi anaishi na mtu hawajaoana ila ndo naona is my type kabisaa ili nirelax na nifurahie mahusiano...sababu atakuwa bize kwangu na huko alipo baas..sijaweza kumueleza, natamani aanze yeye,so naipa muda..
Nina wivu nikimpenda mtu ila sio sana kwa mtu niliyemkuta ana huyo jamaa..naelewa so sileti ugomvi,
Hivi kuna KE/watu ambao mko kama mimi, mnapenda mahusiano ya part time/uke wenza?
Wanasaikolojia msaada tutani, hiki ni kitu cha kawaida?..
Naona ndo mahusiano pekee yanayonipa amani na utulivu,.kikubwa haki itendeke kila mtu na wanae na mji wake..
Wanaume mnachukuliaje hili suala?
NB: Zingatia uke wenza ni suala la agano la kale hadi sasa bila kujali dini wala asili
Ahahah sio mimi usiwe na hofu kabisa upo mwenyewe moyo uhuu ni uwanja wako cheza utakavyoHuyo kijana uliyempenda asiwe tu baba Uswege Mwachiluwi
All in all una moyo WA chuma kama alivyosema ephen_
Nataka tuwe 2 si peke yanguUnaonekana ni mvivu wa kubeba majukum ya mke kuwa na majukum kwa mmeo,tunataka watu wawe wanakusaidia na ww ndio unakaa pembeni ukiwa unaiba kwa namba.
Ukituliza kichwa utaona mtizamo tofautiHuyo Mume wa mtu alikua anakutumia kama kipozeo tu,Wanaume hua hatusahau familia zetu,
Umri umesha kutupa mkono,umejikatia tamaa,ndio maana unarukia waume za watu,ndio maana nikakwambia wewe ni mtu usiyejiamini,huna self confidence,pia hujikubali,kubaliana na matokeo tu kua umri umekwenda,utakuja kukatwa masikio na wake za watu
Huo ndio ukweli wenyewe,hakuna cha kutuliza kichwa wala kutuliza miguu,wewe ni age go,kubaliana na huo ukweli.Ukituliza kichwa utaona mtizamo tofauti
So jipe/nakupa muda
Wewe ni mwanamke wa thamani kubwa!Habarini wana JF,
Kuna kitu napitia..sijui kama nimeathirika na mahusiano niliyokuwa nayo ama ndio asili yetu wanawake ama ni hatua tu napitia katika maisha..
Iko hivi..nimekuwa na mahusiano na married man/mume wa mtu about 4+ yrs hivi, niseme tu nampenda sana ila tumetengana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu...
Issue ni kwamba katika hiyo miaka 4 nilikuwa na furaha sana na mapenzi hayo ya msimu..nilikuwa na yeye tu muda wote huo, sikuwahi kumsaliti (nampenda sana), sikuwa mgomvi kabisaa na familia alonayo, yalikuwa mapya kila siku, nilipata utulivu wa moyo na hisia kwa kuwa ni mtu mzima na hadi leo natamani turudiane ila haiwezekani,
Yalikuwa ni mahusiano yalinipa uhuru kuwa naye kwa kuwa anaishi mbali na familia na nisipokuwa nae basi kufanya kazi zaidi, kupumzika na kutokuwa na pressure ya kum'take care kila siku (anaenda nyumba kubwa siku zingine), hivyo nilikuwa na utulivu sana na amani kubwa.
Yamekuwa tofauti na mahusiano niliyowahi pitia zamani yale ya kugandana full time ama ya kijana ambaye hana utulivu/anakupa stress ambayo kwa kweli yalikuwa yananichosha muda mwingine mana bwana ana demands nyingi na mi nachoka hasa kama mapenzi hayapo...
Hivi sasa niko mwenyewe/single again ila kitu pekee natamani ni part time love/uke wenza tu...infact tayari nishampenda kaka mmoja hivi anaishi na mtu hawajaoana ila ndo naona is my type kabisaa ili nirelax na nifurahie mahusiano...sababu atakuwa bize kwangu na huko alipo baas..sijaweza kumueleza, natamani aanze yeye,so naipa muda..
Nina wivu nikimpenda mtu ila sio sana kwa mtu niliyemkuta ana huyo jamaa..naelewa so sileti ugomvi,
Hivi kuna KE/watu ambao mko kama mimi, mnapenda mahusiano ya part time/uke wenza?
Wanasaikolojia msaada tutani, hiki ni kitu cha kawaida?..
Naona ndo mahusiano pekee yanayonipa amani na utulivu,.kikubwa haki itendeke kila mtu na wanae na mji wake..
Wanaume mnachukuliaje hili suala?
NB: Zingatia uke wenza ni suala la agano la kale hadi sasa bila kujali dini wala asili
Mbona makasiriko boss wangu? Sisi wengine tunapenda wanawake wanaojitambua kama huyu.Wewe ni mpumbavu,mwanamke anayejitambua na aliyelelewa na familia ya maana,hawezi kujisifu kwenye social media umalaya wake wa kutembea na waume za watu.
Unaweza kuelewa/ushawahi pitia hicho kitu?Duuh.
Jadda ndugu yangu nimekua mdogo wako lini tena😆 ukute hata ni I'd ya kidume😅Nipo mdogo wangu, huku ndiko tulikofikia baada ya wanaume kuwatwika wanawake majukumu mengi kuliko wao, wanawake wamechoka wameona bora watafute ngono na watoto tu mambo ya familia na ndoa NO 😂😂
Kwahiyo unataka kila mtu awe kama wewe? Mwanamke anajisifu kuiba mume wa mtu for 4 years? Unadhani mabinti wadogo waliomo humu wanajifundisha nini toka kwa huyo?Mbona makasiriko boss wangu? Sisi wengine tunapenda wanawake wanaojitambua kama huyu.
Umri ni natural phenomenon/kitu kinamkuta kila binadamu hivyo ni suala la kawaida halina ubaya kabisaHuo ndio ukweli wenyewe,hakuna cha kutuliza kichwa wala kutuliza miguu,wewe ni age go,kubaliana na huo ukweli.
Umri ndio tha main reason inayokufanya utembee na waume za watu,umejipa thamani ya "Second hand" umejikatia tamaa,umejiona huna thamani tena.Umri ni natural phenomenon/kitu kinamkuta kila binadamu hivyo ni suala la kawaida halina ubaya kabisa
Weka suala la umri pembeni afu utafakari suala hili
Dada hongera zako japokuwa wewe si mke mwenza bali ni kamchepuko.Habarini wana JF,