Msaada wa Saikolojia: Nimetokea kupenda part time love/Uke wenza kuna kama mimi?

Msaada wa Saikolojia: Nimetokea kupenda part time love/Uke wenza kuna kama mimi?

Nipo mdogo wangu, huku ndiko tulikofikia baada ya wanaume kuwatwika wanawake majukumu mengi kuliko wao, wanawake wamechoka wameona bora watafute ngono na watoto tu mambo ya familia na ndoa NO 😂😂
Kwani nani kakataa familia?
Issue inayotakiwa ni baba mwenye familia 2
 
Dada hongera zako japokuwa wewe si mke mwenza bali ni kamchepuko.

Hio starehe ulioipata ndio hasa lengo la ukewenza, ukewenza haupo kumkomoa mwanamke bali kimaumbile yeye ndo humnufaisha.

Mfano umeoa mwanamke tasa, sheria inakuambia usimuache bali uoe mwengine.

Pia mwanamke hawezi kua available siku zote kwenye sex, anaingia kwenye ada ya mwezi, ujusi siku arobaini, mara yupo kwenye operesheni n.k
Mke mwenza huanzia kuwa hivyo
Uchumba kivipi na mtu ana mke😃

Ila umeona ehh uke wenza kama haki ikitendeka na kama watu mkijitambua msiwe wagomvi una manufaa flani na amani
 
Umri ndio tha main reason inayokufanya utembee na waume za watu,umejipa thamani ya "Second hand" umejikatia tamaa,umejiona huna thamani tena.
Tatizo waona negative tu
Ngoja nikuache kwanza
Furaha si lazima uwe first..kuna faida zake sema hujatafakari saana risk&rewards at hand😃
 
Kwahiyo unataka kila mtu awe kama wewe? Mwanamke anajisifu kuiba mume wa mtu for 4 years? Unadhani mabinti wadogo waliomo humu wanajifundisha nini toka kwa huyo?
Acha hizo boss. Mwanamume kuwa na wake wengi ni swala la enzi na enzi. Mleta mada yupo real na yupo huru kihisia. Anafuata matakwa ya moyo wake, haihitaji kuishi maisha ya mtu, anataka kuishi maisha yake ili awe na utulivu wa moyo. Binafsi napenda mwanamke broad minded kama huyu. By the way watu usiowajua usipende kuwaita wapumbavu, huwezi kujua huenda wanakuzidi pakubwa sana.
 
Kwahiyo unataka kila mtu awe kama wewe? Mwanamke anajisifu kuiba mume wa mtu for 4 years? Unadhani mabinti wadogo waliomo humu wanajifundisha nini toka kwa huyo?
Hahah kama vile ni kitu cha ajabu...relaaax
Hebu asimame mwanaume ambaye hajawahi kuwa na mwanamke wa pembeni tumuone kwanza..sema tu umekaza kichwa ila ninachoongea ndio uhalisia
 
Jadda ndugu yangu nimekua mdogo wako lini tena😆 ukute hata ni I'd ya kidume😅
Haha mimi ni dada wa kila mtu bila kujali umri, kwa ninavyomfahamu kutokana na michango yake humu najuaga ni ID ya kike, hayo mengine nawaachia ninyi wataalam wa kujua jinsia za watu kupitia miandiko 😁😁
 
Wezi bana...[emoji16][emoji16]
Emu fanya hivi, tafuta mtu ambaye hajaoa alafu kuwa nae kwenye mahusianoa, baada ya hapo mpe uhuru mwambie akuchit akutaftie bi mdogo hapo ndio utajua kama unapenda mitaala au laa!!
 
Acha hizo boss. Mwanamume kuwa na wake wengi ni swala la enzi na enzi. Mleta mada yupo real na yupo huru kihisia. Anafuata matakwa ya moyo wake, haihitaji kuishi maisha ya mtu, anataka kuishi maisha yake ili awe na utulivu wa moyo. Binafsi napenda mwanamke broad minded kama huyu. By the way watu usiowajua usipende kuwaita wapumbavu, huwezi kujua huenda wanakuzidi pakubwa sana.
Wewe naona umekurupuka tu na kujipendekeza kwa mleta mada,umeuelewa huu uzi lakini? Hapa hatuongelei Mume kua na wake wengi,huyo anajisifu kuchukua waume za watu,

Ila sikushangai coz hata mleta mada nilimwambia kua hapa atapata support kwa wavulana tu,ila kwa wanaume wanaojielewa watamuona ni mpumbavu,inawezekana kua mleta mada na wewe ndio wale wale tu.
 
Hili ndo Balo jipya la wanawake tulilomuomba MUNGU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
😂😂😂 Kichekesho zaidi ni wake watarajiwa wanakazana kuomba wakaolewe wake wa pili wakati mpo vijana mnatafuta wanawake fresh wa kuoa.

Dunia ngumu sana hii mtakutana na scraper mpaka maji mtaita mma.
 
Kwani nani kakataa familia?
Issue inayotakiwa ni baba mwenye familia 2
Nimemaanisha a decent nuclear family, kiuhalisia hakuna mwanaume anayeweza kuhudumia familia mbili 50 kwa 50 kwa maana ya pesa na muda, ni lazima tu familia moja itapungukiwa (obviously ni ya nje ya ndoa) unless muwe mnaishi kwenye himaya moja
 
Una akili sana !utaishi maisha marefu sana!natamani ungekua kitaa hapa!tungerukaje sarakasi !!?

Wewe ni Moja ya wanawake wanao evolve kuendea ukamilifu mkuu!

Wanaume wenye familia ndio tuliokamilika wenye uelewa was mapana ya ulimwengu!!

Mwanamke strong hutupenda sisi coz tulishafaulu vingi na tuzo za kiroho tulishapewa!!!!

Enjoy!!!
 
Wezi bana...[emoji16][emoji16]
Emu fanya hivi, tafuta mtu ambaye hajaoa alafu kuwa nae kwenye mahusianoa, baada ya hapo mpe uhuru mwambie akuchit akutaftie bi mdogo hapo ndio utajua kama unapenda mitaala au laa!!
Moyo hauendeshwi hivyo
Ingekuwa rahisi sana
 
Nimemaanisha a decent nuclear family, kiuhalisia hakuna mwanaume anayeweza kuhudumia familia mbili 50 kwa 50 kwa maana ya pesa na muda, ni lazima tu familia moja itapungukiwa (obviously ni ya nje ya ndoa) unless muwe mnaishi kwenye himaya moja
Hawa wanaume wenye KE zaidi ya mmoja huku mitaani ni wa sayari nyingine au?..
Kutohudumia kwa usawa ni changamoto ambayo mtu akiwa na nia nafikiri inarekebishika..issue maamuzi tu,.why wapungukiwe na ulianzisha mahusiano mwenyewe?
 
Thread imeletwa kwa tone laini ila ukakasi uko pale pale.

Umri umeenda, haiwezekani tena kuwa na wa peke yako, you have to share ili nawe uwe among them.

Mwanamke mwenye 35+ bila mume ni nadra sana kutembea na aliye single, most men in their late 30s na kuendelea wapo tied.
 
If it works for you… Shida ni kumsononesha huyo KE mwingine, Wanaume huwa hawawezi kubalance mapenzi. Kwahiyo ili mmoja afurahi lazima mmoja aumie .

Binafsi i am too selfish for this… Bora nijue ni wangu suala la kucheat naliacha kwake.

In fact mimi either niwe na wangu au nisiwe na mtu kabisa, kabisa-kabisa. I will be good.
 
Back
Top Bottom