Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Fanya basi uniunganishie Babu yako huyu binti ili na mimi nipate sehemu ya kupunguza msongo wa mawazo. Si unamfahamu yule bibi yako SweetyCandy siku akiamka vibaya!Una moyo wa chuma
Fanya basi uniunganishie Babu yako huyu binti ili na mimi nipate sehemu ya kupunguza msongo wa mawazo. Si unamfahamu yule bibi yako SweetyCandy siku akiamka vibaya!Una moyo wa chuma
Unapatikana wapi Mkuu ?Contrary to popular beliefs..si kweli
Si kama napenda mteremko kihiivyo i have my own life mazuri tu..labda kutojiamini ndo mana nimeuliza wanaSaikolojia,
Ss mwenye mali anipigie nini na Bwana ake kapata hisia na mimi pia😃?ni suala la kupigana ama kukubali hilo?
Binafsi sina muda wa kupigana wala kusema mtu vibaya
Hayajakukuta mwaliIf it works for you… Shida ni kumsononesha huyo KE mwingine, Wanaume huwa hawawezi kubalance mapenzi. Kwahiyo ili mmoja afurahi lazima mmoja aumie .
Binafsi i am too selfish for this… Bora nijue ni wangu suala la kucheat naliacha kwake.
In fact mimi either niwe na wangu au nisiwe na mtu kabisa, kabisa-kabisa. I will be good.
Labda nikuulize kwani wewe ni dini gani? Kama ni muislamu tupo tunaotaka kuongeza mke, sheria 4 na mimi ndio kwanza nina mmoja, usiache fursa ikupite hiiHabarini wana JF,
Kuna kitu napitia..sijui kama nimeathirika na mahusiano niliyokuwa nayo ama ndio asili yetu wanawake ama ni hatua tu napitia katika maisha..
Iko hivi..nimekuwa na mahusiano na married man/mume wa mtu about 4+ yrs hivi, niseme tu nampenda sana ila tumetengana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu...
Issue ni kwamba katika hiyo miaka 4 nilikuwa na furaha sana na mapenzi hayo ya msimu..nilikuwa na yeye tu muda wote huo, sikuwahi kumsaliti (nampenda sana), sikuwa mgomvi kabisaa na familia alonayo, yalikuwa mapya kila siku, nilipata utulivu wa moyo na hisia kwa kuwa ni mtu mzima na hadi leo natamani turudiane ila haiwezekani,
Yalikuwa ni mahusiano yalinipa uhuru kuwa naye kwa kuwa anaishi mbali na familia na nisipokuwa nae basi kufanya kazi zaidi, kupumzika na kutokuwa na pressure ya kum'take care kila siku (anaenda nyumba kubwa siku zingine), hivyo nilikuwa na utulivu sana na amani kubwa.
Yamekuwa tofauti na mahusiano niliyowahi pitia zamani yale ya kugandana full time ama ya kijana ambaye hana utulivu/anakupa stress ambayo kwa kweli yalikuwa yananichosha muda mwingine mana bwana ana demands nyingi na mi nachoka hasa kama mapenzi hayapo...
Hivi sasa niko mwenyewe/single again ila kitu pekee natamani ni part time love/uke wenza tu...infact tayari nishampenda kaka mmoja hivi anaishi na mtu hawajaoana ila ndo naona is my type kabisaa ili nirelax na nifurahie mahusiano...sababu atakuwa bize kwangu na huko alipo baas..sijaweza kumueleza, natamani aanze yeye,so naipa muda..
Nina wivu nikimpenda mtu ila sio sana kwa mtu niliyemkuta ana huyo jamaa..naelewa so sileti ugomvi,
Hivi kuna KE/watu ambao mko kama mimi, mnapenda mahusiano ya part time/uke wenza?
Wanasaikolojia msaada tutani, hiki ni kitu cha kawaida?..
Naona ndo mahusiano pekee yanayonipa amani na utulivu,.kikubwa haki itendeke kila mtu na wanae na mji wake..
Wanaume mnachukuliaje hili suala?
NB: Zingatia uke wenza ni suala la agano la kale hadi sasa bila kujali dini wala asili
Na iwe hivyo tu,maana huu wivu utaniua,Yaani siwezi kulala nikijua uko Kwa mwanamke mwingine,muda wote nitakuwa nawaza tu sijui mnafanya Nini sasa hivi🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ahahah sio mimi usiwe na hofu kabisa upo mwenyewe moyo uhuu ni uwanja wako cheza utakavyo
Ata ivyo umeshindaje kipnz siku yako ilikuwaje? Mimi siku yangu ilikuwa ime nibana kwa kazi ambazo haziishi kiasi cha kuwa na hasira gafla 😂
Thanks sana kipnzi Mungu anitunzie wewe vip lkn umeamkaje ? Jana umewa kulala sanaNa iwe hivyo tu,maana huu wivu utaniua,Yaani siwezi kulala nikijua uko Kwa mwanamke mwingine,muda wote nitakuwa nawaza tu sijui mnafanya Nini sasa hivi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Siku yangu iliisha poa kabisa,Pole na Kazi baba watoto,usikaririke bwana ,Kazi zikikuchosha my dear kaa upumzike kunywa maji baridi jifanye huzioni hizo Kazi zipo tu🤗🤗🤗🤗🤗
Nimeamka poa baba Uswege,jana tulikua na ki Party uchwala nimerudi muda umeenda nikalala tu!!Thanks sana kipnzi Mungu anitunzie wewe vip lkn umeamkaje ? Jana umewa kulala sana
Oh sawq ukupiga picha nikuone ulivyo pendezaNimeamka poa baba Uswege,jana tulikua na ki Party uchwala nimerudi muda umeenda nikalala tu!!
Ni suala la muda tu sio😃Mtaachana tu
We sasa ndyo mwanamke na nusu.Yanii, kuwa na my own man hivi sasa nakiri siwezii ndugu wajumbe🙌🏽
Hapo ndipo unapokosea! Kujiondoa hizo tafakuli zako tu,utakua sawa kama mtoa mada.Yanaanzia wapi??? Mimi nijue mwanaume ninayempenda muda huu yupo na mwanamke mwingine nitakuwa nawaza tu sijui watakua wanafanya Nini!!hata usingizi hauji!!
hiyo ndio point!Niko busy sana bwana wa full time siwezi kumlea peke yangu nachoka
Raha ya mapenzi uamini unapendwa Wewe tu,ana hisia na Wewe tu,sasa jitu jana limelala Kwa flani,Leo linakuja kwako litakudanganya Nini sasa,hizo hisia unazipata wapi?Hapo ndipo unapokosea! Kujiondoa hizo tafakuli zako tu,utakua sawa kama mtoa mada.
Ipo sahihi! Na kama anaye mmoja tu na Hana kimada basi Hana Pesa. Kinacho mkwamisha ni fiance tu.Yasemekana wanaume hawawezi kuwa na KE mmoja
Hiyo school of thought tunaichukuliaje wananzengo